Tangazo la NAFSI YA AJIRA YA MUDA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) ni taasisi iliyo chini ya wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, iliyoanzishwa kwa Hati Maalum GN.NO.122/2008 ili kusimamia zoezi la usajili ana utambuzi wa watu chini ya Sheria ya Usajili na Utambuzi wa watu sheria noa. 36 kama ilivyorekebishwa mwaka 2012 ( CAP 36. R.E. 2012)kutokana na ongezeko la vifaa na mahtaji makubwa ya utunzaji na ukarafiti wa vifaa hivyo Mmlaka ya Vitambulisho vya Taifa- NIDA inakaribisha maomb ya ajira za muda (temporary) employment) katika ofisi ya TANITA Kibaha mkoani Pwani kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 40 kati ya watumishi 30 wanatakiwa wawe na ujuzi wa TEHAMA (IT) NA 10 wawe na ujuzi wa kutunza kumbu kumbu na vifaa (store keeper)
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe mtanzania
- Umri miaka 25- 45
- Awe na ujuzi wa kutumia computerawe na ujuz wa utunzaji stoo ( stores and Material Management )
- Mwenye sifa ya kutunza kumbu kumbu
Maombi yote yaambatanishwe na vivuli vya vyeti vya taaluma pamoja na taarifa binafsi za mwombaji (CV) na ziwasilishwe kwa mkono katika ofisi ya mamlaka iliyopo TANITA- KIBAHA MKOANI PWANI
Mwisho wa kupokea maombi ni jumanne tarehe 26/08/2016
Source daily news August 19, 2016
NAFASI ZA KAZI Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
Reviewed by Unknown
on
6:17:00 AM
Rating: