Halmashauri ya Manispaa ya Musoma inakukaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wananchi wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi zifuatazo
Mtendaji wa Mtaa Daraja la III –Nafasi 2
Sifa za Mwaombaji
Awe na elimu ya kidato cha nne IV au cha sita IV aliyo hitimu mafunzo ya Astashahada/ cheti katika katika moja ya fani zifuatazo
Utawala
Sheria
Ustawi wa Jamii
Usimamizi wa Fedha
Maendeleo ya jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka chuo cha serikali za mitaa cha Ombolo au chuo chochote kinacho tambuliwa na serikali
Majukumu ya kazi ni pamoja na
Katibu wa kamati ya Mtaa
Mtendaji mkuu wa Mtaa
Kuratibu utekelezaji wa sera na sheria zinazotekelezwa na Halmashauri ya Mtaa
Kushauri kamati ya Mtaa kuhusu mipango Ya maendeleo katika Mtaa
Kusimamia Utekelezaji wa Sheria ndogo ndogo pamoja na sheria zingine zinazo tumika katika mtaa
Kushauri kamati ya mtaa kuhusu maswala ya ulinzi na Usalama
Kusimamia utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaje wa njaa na umasikini wa Mtaa
Kusimamia ukusanyaji wa mapato katika halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote
Mshahara
Utakuwa katika Ngazi za mishahara ya Serikalini yaani TGS B
Masharti
Waombaji wote wawe na umri usiozidi miaka 40
Maombi yaandikwe kwa mkono na kuambatanishwa na
Maelezo binafsi
Nakala za vyeti vya kuhitimu ( Elimu ya Msingi ,kidato cha nne au sita na cheti cha kuzaliwa) na vyeti vya mafunzo ( Astashahada)
Picha ndogo mbili za Passport anuani na namba ya simu
NB: MAOMBI YASIYOZINGATIA MASHARTI HAYA HAYATASHUGHULIKIWA

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI WA MANISAPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Limetolewa na
DR. KHALFANY B. HAULE
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
MKURUGENZI WA MANISAPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Limetolewa na
DR. KHALFANY B. HAULE
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
Mtendaji wa Mtaa
Reviewed by Unknown
on
8:58:00 AM
Rating: