Kuitwa kwenye usaili Jeshi la Polisi - Juni 2015

Tembelea www.policeforce.go.tz/index.php/sw/ kuona orodha ya wahitimu wa kidato cha nne 2014 waliochaguliwa kushiriki USAILI wa kujiunga na jeshi la polisi tanzania 2015.
Bonyeza hapa majina na ratiba   majina ya usaili
Ni vema ukachungulia shule za katani kwako ili ukimwona mhusika apewe taarifa ili akashiriki.
Usaili utaanza 03.07.2015.
Kuitwa kwenye usaili Jeshi la Polisi - Juni 2015 Kuitwa kwenye usaili Jeshi la  Polisi - Juni 2015 Reviewed by Unknown on 12:01:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.