Halmashauri ya Manispaa ya Musoma inakukaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wananchi wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi zifuatazo
Mlezi wa Watoto Msaidizi ( Assistant Child Care)-Nafasi 1
Sifa za Mwombaji
Awe amehitimu kidato cha nne na kufaulu maarifa ya nyumbani ( Home Craft Management) au mafunzo yanayofananania na hayo au mwenye cheti cha mwaka mmoja cha mafunzo ya ustawi wa jamii
Majukumu ya Kazi ni Pamoja na
Kulea watoto wenye ulemavu katika kituo cha walemavu
Kuhakikisha watoto walemavu wanahudhuria darasani ipasavyo
Kuhakikisha wanapata lishe bora na kwa wakati na kuhakikisha wana Afya njema
Mshahara
Utakuwa katika Ngazi za mishahara ya Serikalini yaani TGS B

Masharti
Waombaji wote wawe na umri usiozidi miaka 40
Maombi yaandikwe kwa mkono na kuambatanishwa na
Maelezo binafsi
Nakala za vyeti vya kuhitimu ( Elimu ya Msingi ,kidato cha nne au sita na cheti cha kuzaliwa) na vyeti vya mafunzo ( Astashahada)
Picha ndogo mbili za Passport anuani na namba ya simu
NB: MAOMBI YASIYOZINGATIA MASHARTI HAYA HAYATASHUGHULIKIWA

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI WA MANISAPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Limetolewa na
DR. KHALFANY B. HAULE
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
MKURUGENZI WA MANISAPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Limetolewa na
DR. KHALFANY B. HAULE
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
Mlezi wa Watoto Msaidizi ( Assistant Child Care)
Reviewed by Unknown
on
8:57:00 AM
Rating: