Halmashauri ya Manispaa ya Musoma inakukaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wananchi wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi zifuatazo
Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II –Nafasi 3
Sifa za Mwombaji
Awe amehitimu kidato cha nne(IV) au sita ( V) na mwenye cheti cha kumbukumbu katika fani ya Masjala
Majukumu ya Kazi ni Pamoja na
Kutafuta Kumbukumbu /nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji
Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika(classification and boxing)kwajili ya matumizi ya ofisi
Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki( File racks/cabinets) katika masjala / vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu
Kuweka Kumbukumbu ( barua, nyaraka) katika mafaili
Kushughulikia maombi ya kumbukumbu /nyaraka kutoka taasisi za Serikali
Mshahara
Utakuwa katika Ngazi za mishahara ya Serikalini yaani TGS B kwa mwezi
Masharti
Waombaji wote wawe na umri usiozidi miaka 40
Maombi yaandikwe kwa mkono na kuambatanishwa na
Maelezo binafsi
Nakala za vyeti vya kuhitimu ( Elimu ya Msingi ,kidato cha nne au sita na cheti cha kuzaliwa) na vyeti vya mafunzo ( Astashahada)
Picha ndogo mbili za Passport anuani na namba ya simu
NB: MAOMBI YASIYOZINGATIA MASHARTI HAYA HAYATASHUGHULIKIWA

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI WA MANISAPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Limetolewa na
DR. KHALFANY B. HAULE
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
MKURUGENZI WA MANISAPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Limetolewa na
DR. KHALFANY B. HAULE
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
Msaidizi wa Kumbukumbu
Reviewed by Unknown
on
8:57:00 AM
Rating: