Halmashauri ya Manispaa ya Musoma inakukaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wananchi wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi zifuatazo
Katibu Muhtasi Daraja la III-Nafsi 2
Sifa za Mwombaji
Awe amahitimu kidato cha nne(IV) na kuhudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya tatu.
Awe amefaulu somo la Hatimikato ya kisawhili na kingereza maneno 80 wa dakika moja na awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinacho tambuliwa na serikali na kupata cheti katika program za window, Miscrosoft Office, Internet ,E-mail and Publisher
Majukumu ya Kazi
Kuchapa barua, taarifa za nyaraka na za kawaida
Kusaidia kupokea wageni na kuwasilisha shida zao na kuwaelekeza sehemu wanaweza kushughulikiwa
Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao , safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizo pangwa wakati unaohitajika
Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majadala ,nyaraka au kitu chochote kinacho hitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini
Masharti
Waombaji wote wawe na umri usiozidi miaka 40
Maombi yaandikwe kwa mkono na kuambatanishwa na
Maelezo binafsi
Nakala za vyeti vya kuhitimu ( Elimu ya Msingi ,kidato cha nne au sita na cheti cha kuzaliwa) na vyeti vya mafunzo ( Astashahada)
Picha ndogo mbili za Passport anuani na namba ya simu
NB: MAOMBI YASIYOZINGATIA MASHARTI HAYA HAYATASHUGHULIKIWA

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI WA MANISAPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Limetolewa na
DR. KHALFANY B. HAULE
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
MKURUGENZI WA MANISAPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Limetolewa na
DR. KHALFANY B. HAULE
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
Katibu Muhtasi
Reviewed by Unknown
on
8:58:00 AM
Rating: