Mkuu wa TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI -PASIANSI ( MWANZA ) anawatangazia wafuatao ambao waliomba kujiunga na kozi ya astashahada ya awali ya usimamizi wa wanyamapori na hima sheria kuwa wanatakiwa kuhudhuria usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 22 juni hadi 25 juni , 2015 .
MAJINA YANAPATIKANA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI JUMATATU , JUNI 15 , 2015
MAJINA YANAPATIKANA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI JUMATATU , JUNI 15 , 2015
KUITWA KWENYE USAILI - TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI -PASIANSI ( MWANZA ) 6/15/2015
Reviewed by Unknown
on
3:26:00 AM
Rating: