KUITWA KWENYE USAILI - HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI - JUNI 2015
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Monduli anawatangazia waombaji wa tangazo la kazi lililotolewa kwenye gazeti la Mwananchi la tarehe 20/5/2015 kuitwa kwenye usaili utakaofanyika tarehe 29/6/2015 - 30/06/2015 . Usaili utafanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Musoma Kuanzia saa 2:00 Asubuhi .
Majina na maelezo zaidi yapo Gazeti la Mwananchi , Jumatano Juni 17 , 2015

Reviewed by Unknown
on
6:52:00 AM
Rating: