KUITWA KWENYE USAILI - HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA - JUNI 2015
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Musoma anawatangazia waombaji wa tangazo la kazi lililotolewa kwenye gazeti la Mtanzania la tarehe 01/mei/2015 kuitwa kwenye usaili utakaofanyika tarehe 24/6/2015 . Usaili utafanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Musoma Kuanzia saa 2:00 Asubuhi .
Majina na maelezo zaidi yapo Gazeti la Mtanzania Jumatano Juni 17 2015

Reviewed by Unknown
on
6:45:00 AM
Rating: