Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania linatangaza nafasi za Ajira kwa mwaka wa fedha 2015/2016 kwa vijana waliosomea ujuzi/fani, cheti na stashahada toka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wahitimu wa kidato cha sita na nne kati ya mwaka 2013 hadi 2014 waliohudhuria na kufaulu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
KONSTEBO WA ZIMAMOTO NA UOKOAlI (FIRE CONSTABLE) - Nafasi 803.
Mwombaji awe amehitimu na kupata cheti cha mtihani wa kidato cha- nne kati ya mwaka 2013 hadi 2014:
Mwenye cheti katika fant yaHabari na Mawasiliano, Utunzaji wa
Kumbukumbu, Zimamoto na Uokoajl, Ugavi na Ununuzi, Katibu Muhtasi,
Uhasibu na Uuquzi; au awe na cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la I katika moja ya fani ya Umakenika, Ufundi Bomba, Ufundi Umeme wa Majengo, Ufundi Umeme wa Magari, Wachora Ramani, Uchomeleaji,
Ufundi Uashi, Gym, Ufundi Mitambo, Kada za Afya, na Ufundi Seremala.
MASHARTI MUHIMU KWA MWOMBAlI:
Mwombaji ni lazima awe amepitia na kuhitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kati ya mwaka 2012 - 2015.
Waombaji wote wawe warnehitirnu kidato cha sita na nne kati ya mwaka 2013 hadi 2014. .
Mwombaji ambatanishe vivuli vya vyeti vyote yaani cheti cha kuzaliwa, kuhitimu elimu ya sekondari, cheti/vveti vya taaluma na cheti cha kumaliza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), (CV) ikiwa na
majina ya wadhamini watatu na anwani zao na picha mbili ndogoza (passpot size), hati ya kiapo haitakubaliwa.
Mwombaji aandike kazi aliyoomba juu ya bahasha.
SIFA zA MWOMBAlI
Mwombaji awe Raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 25, mwenye afya njema na ambaye hajaoa au kuolewa.
Mwombaji asiwe na .kumbukumbu za kutenda uhalifu.
Mwombaji awe na urefu usiopungua sentimenta 155.
Mwombaji awe hajawahi kuajiriwa na Idara nyingine Serikalini.
Barua zote za maombi zitumwe kwa njia ya Posta.
Mwombaji awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya Jeshi la
Zimarnoto na Uokoaji.
Mwombaji awe tayari kufanya kazi mahali popote atakapopangiwa
ndani ya Nchi.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Waombaji wa kazi watume barua za maombi kabla ya tarehe 30 Juni, 2015 kwa anuani ifuatayo: Kamishna JeneraIi
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
S.L.P 5821,
DAR ES SALAAM.
ndani ya Nchi.
Imetolewa na
,Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji (T)
DAR ES SALAAM
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
S.L.P 5821,
DAR ES SALAAM.
ndani ya Nchi.
Imetolewa na
,Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji (T)
DAR ES SALAAM
Konstebo Wa Zimamoto Na Uokoaji (Fire Constable) - x 803
Reviewed by Unknown
on
1:59:00 AM
Rating: