From Mwananchi,16th June 2015
Soko la Mazao Kibaigwa lipo katika Mji Mdogo wa Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa Mkoa wa
Dodoma. Linatangaza nafasi za Ajira kama ifuatavyo;
Fundi Mitambo - Nafasi (1)
Sifa za Mwombaji.
Awe raia wa Tanzania
Awe na umri usiozidi miaka 40.
Mwenye uzoefu usiopungua miaka mitatu.
Awe na elimu ya Stashahada ya umeme (FTC).
Majukumu yake yatakuwa;-
Kutoa ushauri kwa meneja wa soko kuhusiana na masuala vote yanayohusu Mitambo,
matengenezo ya miundo mbinu na umeme.
Atawasimamia wasaidizi wake katika kazi zao za uendeshaji wa mitambo.
Kusimamia ubora wa viwango na mahindi katika usafishaji wake.
Atasimamia mapato vote yanayotokana na usafishaji wa mahindi toka kwenye
Mitambo.
Atawajibika kwa Meneja kwa masuala vote ya Mitambo na umeme ya soko.
Sifa za Mwombaji.
Awe raia wa Tanzania
Awe na umri usiozidi miaka 30.
Awe na Elimu ya kidato cha nne au cha sita na fani ya Katibu Muhtasi.(Secretary) kutoka Taasisi yoyote inayotambuliwa na serikali.
Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta katika programu za Windows, Microsoft office,
Internet na Pulisher.
Mwenye uzoefu usiopungua miaka mitatu.
Awe na uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya kingereza kwa ufasaha
Majukumu yake yatakuwa ni;-
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake wa kazi majalada nyaraka au kitu chochote
kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini
Kuwasaidia, kupokea wageni na kuwasilisha shida zao na kuwaelekeza sehemu
wanapoweza kushughulikiwa.
Kusaidia kutunza taarifaiKumbukumbu za matukio, Miadi, tare he za vikao, safari za
mkuu wake na ratiba za kazi nyingine zilizopangwa.
Kuwa kiungo kati ya mkuu wake wa kazi na wasaidizi wake.
Kutunza nyaraka mbalimbali za Ofisi.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Mwombaji yoyote anatakiwa kuambatanisha vivuli vya vyeti vyake vya mafunzo,
Wasifu wa mwombaji (CV) na namba ya simu kwaajili ya Mawasiliano.
Waombaji wote wawe na ujuzi wa kutumia computer.
Mwisho wa kupokea maombi hayo ni tarehe 29/06/2015, Wenye sifa wataitwa kwenye
usaili kwa tarehe itakayopangwa na siku ya usaili muombaji atatakiwa kuja na vyeti
halisi.
Maombi vote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Meneja wa Soko
S.L.P 82,
KIBAIGWA - DODOMA

Fundi Mitambo
Reviewed by Unknown
on
3:22:00 AM
Rating: