From Mwananchi,16th June 2015
Soko la Mazao Kibaigwa lipo katika Mji Mdogo wa Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa Mkoa wa
Dodoma. Linatangaza nafasi za Ajira kama ifuatavyo;
Cashier - Nafasi (1)
Sifa za Mwombaji.
Awe raia wa Tanzania
Awe na umri usiozidi miaka 30.
Awe na elimu Astashahada (Certificate) katika masuala ya fedha.
Mwenye uzoefu usiopungua miaka miwili.
Majukumu yake yatakuwa;-
Atawajibika kwa Mhasibu wa kampuni.
Kuandika na kutunza register zinazohusu shughuli za Uhasibu.
Kuandika hati za kupokelea fedha za voucher za Kampuni.
Kupeleka fedha 8enki kila siku.
Kuandika hati za malipo madogomadogo (Petty cash).
Kuwa kiungo kati ya mkuu wake wa kazi na wasaidizi wake.
Kuhakikisha voucherzote za Kampuni zinaandikwa kwa wakati kulingana na taratibu
za Kiuhasibu.
Sifa za Mwombaji.
Awe raia wa Tanzania
Awe na umri usiozidi miaka 30.
Awe na Elimu ya kidato cha nne au cha sita na fani ya Katibu Muhtasi.(Secretary) kutoka Taasisi yoyote inayotambuliwa na serikali.
Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta katika programu za Windows, Microsoft office,
Internet na Pulisher.
Mwenye uzoefu usiopungua miaka mitatu.
Awe na uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya kingereza kwa ufasaha
Majukumu yake yatakuwa ni;-
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake wa kazi majalada nyaraka au kitu chochote
kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini
Kuwasaidia, kupokea wageni na kuwasilisha shida zao na kuwaelekeza sehemu
wanapoweza kushughulikiwa.
Kusaidia kutunza taarifaiKumbukumbu za matukio, Miadi, tare he za vikao, safari za
mkuu wake na ratiba za kazi nyingine zilizopangwa.

Kutunza nyaraka mbalimbali za Ofisi.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Mwombaji yoyote anatakiwa kuambatanisha vivuli vya vyeti vyake vya mafunzo,
Wasifu wa mwombaji (CV) na namba ya simu kwaajili ya Mawasiliano.
Waombaji wote wawe na ujuzi wa kutumia computer.
Mwisho wa kupokea maombi hayo ni tarehe 29/06/2015, Wenye sifa wataitwa kwenye
usaili kwa tarehe itakayopangwa na siku ya usaili muombaji atatakiwa kuja na vyeti
halisi.
Maombi vote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Meneja wa Soko
S.L.P 82,
KIBAIGWA - DODOMA

Cashier
Reviewed by Unknown
on
3:21:00 AM
Rating: