From Mwananchi,16th June 2015
Soko la Mazao Kibaigwa lipo katika Mji Mdogo wa Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa Mkoa wa
Dodoma. Linatangaza nafasi za Ajira kama ifuatavyo;
Afisa Masoko na Takwimu - Nafasi (1)
Soko la Mazao Kibaigwa lipo katika Mji Mdogo wa Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa Mkoa wa
Dodoma. Linatangaza nafasi za Ajira kama ifuatavyo;
Afisa Masoko na Takwimu - Nafasi (1)
Sifa za Mwombaji.
Awe raia wa Tanzania
Awe na umri usiozidi miaka 40
Mwenye uzoefu usiopungua miaka mitatu.
Awe na Shahada ya Masoko kutoka chuo chochote kinachotambulika na Serikali.
Majukumu yake yatakuwa.
Afisa masoko atawajibika kwa Meneja wa soko.
Kumshauri Meneja wa soko kuhusiana na masuala vote ya Idara ya Masoko na
Takwimu katika uendeshaji wa Soko.
Atakuwa msimamizi wa Wafanyakazi wote wanaofanya kazi chini ya Idara husika
(Takwimu na Masoko). . -
Kusimamia shughuli zote za kuhifadhi mazao (stoo) iIi kuongeza kipato kwa Kampuni.
Kusimamia ubora wa viwango vya mazao vote yanayoingia hapa sokoni hususani
ukaguzi wa ,michanga kwenye zao la mahindi.
Sifa za Mwombaji.
Awe raia wa Tanzania
Awe na umri usiozidi miaka 30.
Awe na Elimu ya kidato cha nne au cha sita na fani ya Katibu Muhtasi.(Secretary) kutoka Taasisi yoyote inayotambuliwa na serikali.
Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta katika programu za Windows, Microsoft office,
Internet na Pulisher.
Mwenye uzoefu usiopungua miaka mitatu.
Awe na uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya kingereza kwa ufasaha
Majukumu yake yatakuwa ni;-
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake wa kazi majalada nyaraka au kitu chochote
kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini
Kuwasaidia, kupokea wageni na kuwasilisha shida zao na kuwaelekeza sehemu
wanapoweza kushughulikiwa.
Kusaidia kutunza taarifaiKumbukumbu za matukio, Miadi, tare he za vikao, safari za
mkuu wake na ratiba za kazi nyingine zilizopangwa.
Kuwa kiungo kati ya mkuu wake wa kazi na wasaidizi wake.
Kutunza nyaraka mbalimbali za Ofisi.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Mwombaji yoyote anatakiwa kuambatanisha vivuli vya vyeti vyake vya mafunzo,
Wasifu wa mwombaji (CV) na namba ya simu kwaajili ya Mawasiliano.
Waombaji wote wawe na ujuzi wa kutumia computer.
Mwisho wa kupokea maombi hayo ni tarehe 29/06/2015, Wenye sifa wataitwa kwenye
usaili kwa tarehe itakayopangwa na siku ya usaili muombaji atatakiwa kuja na vyeti
halisi.
Maombi vote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Meneja wa Soko
S.L.P 82,
KIBAIGWA - DODOMA

Afisa Masoko na Takwimu
Reviewed by Unknown
on
3:22:00 AM
Rating: