Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ushetu anatangaza nafasi ishirini na mbili (22) za kazi
Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yoyote mwenye sifa hizo zilizotajwa katika tangazo hili
Nafasi zinazotangazwa ni kama ifuatavyo:
Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III;(x20 )
Majuumu
i. Awe amehitimu kidato cha Nne (IV) au Sita (VI)
ii. Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo-: Utawala, Sheria, Elimu ya jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii na sayansi ua sanaa katika chuo cha serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
Ngazi ya mshahara: TGS B
Vigezo na masharti ya jumla kwa waombaji
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania
ii. Awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18
iii. Maombi yote yaambatanishwe na nakala ya cheti cha taaluma, nakala ya cheti na kidato cha nne/sita, maelekezo binafsi yanayojitosheleza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Refees) watatu (3) wa kuaminika na picha mbili (passport size) za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
iv. Vyeti vyote vya Taaluma na kidato cha nne/sita ni lazima visithibitishwe na Hakimu au wakili anayetambulika na Serikali. Aidha uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za Kisheria na mamlaka zinazohusika
v. Mwombaji yeyote ambaye hatazingatia mojawapo ya masharti au vigezo tajwa hapo juu, maombi yake hayatashaughulikiwa
vi. Watumishi ambao walikwisha kuajiliwa hapo awali serikalini na kupangiwa vituo vya kazi maeneo mengine wasiombe nafasi hizi za kazi kwa kuwa hawataweza kuingia kwenye Payroll ya serikali
vii. Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
viii. Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili

Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja La II - NAFASI 2
Majukumu
i. Kutafuta kumbukumbu/majalada yanayohitajika na wasomaji wanaohusika
ii. Kuweka majadala katika makundi
iii. Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka, n.k) katika majadala
iv. Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa umbuukmbu/nyaraka
Mwombaji awe na sifa zifuatazo
i. Awe amehitimu Elimu ya kidato cha Nne (IV) au sita (VI)
ii. Awe amehitimu mafunzo ya Utunzaji wa kumbukumbu angalau katika ngazi ya Cheti katika mojawapo ya fani ya Masjala
Ngazi ya mshahara: TGS B
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta, maombi yatakayowasiilshwa kwa mkono au barua pepep hayatafanyiwa kazi

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Barua zote zitumwe kwa njia ya posta kupitia anuani ifuatayo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya wilaya ya Ushetu
S.L.P 50
USHETU
Mwisho wa kupokea maombi tarehe 12/02/2015, saa 9”300 Alasiri
Isabela Chilumba
Mkurugenzi Mtendaji (W)
USHETU
Ajira Halmashauri ya wilaya ya Ushetu - Feb 2015
Reviewed by Unknown
on
8:42:00 AM
Rating: