Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anapenda kuwatangaiza wananchi wote wa raia wa Tanzania wenye sifa mbalimbali kuoma nafasi za kazi zilizoorodheshwa hapo chini.
1. MSAIDIZI WA OFISI (NAFASI 6)
i. Sifa za Mwombaji
Awe amehitimu kidato cha nne na kufaul vizuri katika masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabari
ii. Majukumu yake
a. Kufanya usafi ofisi na mazingira ya njee na ndani
b. Kuchukua na kupeleka majadala na hati nyingine kwa Maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu husika
c. Kusamba barua za ofosi kama atakavyo elekezwa
d. Kutayarisha chai ya ofisi
e. Kupeleka na kuchukua barua posta
f. Kutunza vifaa vya ofisi na kutoa ripoti zinapohitajika
g. Kufungua milango na madirisha wakati wa Asubuhi na jioni kuyafunga baada ya saa za kazi
iii. Ngazi ya mshahara TGOS A ambayo ni Tshs. 265,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA
Barua ziandikwe kwa mkono
Umri usizidi miaka 45
Ambatanisha vivuli vya vyeti vya kuzaliwa, shule na Chuo
Pichna mbili (2) za rangi passport-size
Mwisho wa kupokea maombi tarehe 22/01/2015 saa 9:30 alasiri
Maombi yote yatumwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 108
Iringa
Source: Mwananchi 14 January 2015
==============
HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA
S.L.P 108
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anapenda kuwatangaiza wananchi wote wa raia wa Tanzania wenye sifa mbalimbali kuoma nafasi za kazi zilizoorodheshwa hapo chini.
2. MLINZI (NAFASI 16)
I. Sifa za mwombaji
Kuajiliwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya mgambo/polisi/JKT au Mafunzo ya Zimamoto kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali
II. Majukumu yake
a. Kuhakikisha kwamba mali yoyote ya ofisi inayotolewa langoni )nje ya ofisi) ina hati na idhini
b. Kuhakikisha kuwa mali yote inayoingizwa mlangoni hati za uhalali wake
c. Kulinda usalama wa majengo, ofisi na mali za ofisi mchana na usiku
d. Kuhakikisha kwamba milango na madirisha yote yamefungwa ipasavyo mwisho wa saa za kazi
e. Kuhakikisha kwamba wageni wote wanaingia katika eneo la ofisi wana idhini ya kufanya hivyo
f. Kupambana na majanga yoyote yatakayotokea katika sehemu ya kazi kama vile moto, mafuriko n.k. na kutoa taarifa katika vyombo vinavyohusika, kama vile Polisi na Zimamoto
g. Kutoa ushauri wa jinsi ya kuboresha huduma ya ulinzi mahali pa kazi
III. Ngazi ya Mshahara TGOS A ambayo ni Tshs. 265,000/=
MASHARTI YA JUMLA
Barua ziandikwe kwa mkono
Umri usizidi miaka 45
Ambatanisha vivuli vya vyeti vya kuzaliwa, shule na Chuo
Pichna mbili (2) za rangi passport-size
Mwisho wa kupokea maombi tarehe 22/01/2015 saa 9:30 alasiri
Maombi yote yatumwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 108
Iringa
Source: Mwananchi 14 January 2015
==================
HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA
S.L.P 108
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anapenda kuwatangaiza wananchi wote wa raia wa Tanzania wenye sifa mbalimbali kuoma nafasi za kazi zilizoorodheshwa hapo chini.
3. AFISA WA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI (NAFASI 8)
I. Sifa za mwombaji
Awe amehitimu kidato cha nne au cha sita aliyehitimu mafunzo ya cheti katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sana kutoka chuo cha Serikali za Mtaa
II. MAJUKUMU YAKE:
• Kuwa Afisa masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
• Kusimamia ulinzi na usalama wa Raia na mali zao
• Kuratibu na kusimamia upangaji na utekelezaji wa mipango ya Maendeleo ya Kijij
• Kuwa katibu wa mikutano yote ya Halmashauri ya Kijiji
• Kutafsiri na kusimamia sera, Sheria na taratibu
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote za Nyaraka za Kijiji
III. NGAZI YA Mshahara TGS B ambayo ni Tshs. 345,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA
Barua ziandikwe kwa mkono
Umri usizidi miaka 45
Ambatanisha vivuli vya vyeti vya kuzaliwa, shule na Chuo
Pichna mbili (2) za rangi passport-size
Mwisho wa kupokea maombi tarehe 22/01/2015 saa 9:30 alasiri
Maombi yote yatumwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 108
Iringa
Source: Mwananchi 14 January 2015
Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Iringa - Jan 2015
Reviewed by Unknown
on
2:35:00 AM
Rating: