JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU TAZWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO
kumb. Na hwr/s.20/vol.II/17: 2/12/2014

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Rombo anakaribisha maombi ya watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 20.
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II (NAFASI 2)
MAJUKUMUYAKAZI
Kutafuta kumbukumbu/Nyaraka/Majalada yanayohitajiwa na maofisa.
Kudhibiti upokeaji,uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka.
Kuchambua,kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka
katika makundi kulingana na somo husika (classification and
boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file recks/cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k.) katika majalada.
Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
TGS.B kwa mwezi.
MASHART YA JUMLA KWA KAZI ZOTE:
1. Waoombaji weote wawe raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45.
2. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma na wamejipatia sifa katika kada tofauti walizo nazo wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiridhishe ipasavyo.
3. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha; kuto kuzingatia hili kutasababisha maombi kuwa batili.
4. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitoshereza (detailed CV) yenye anuani na namba za simu zaza kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
5. Maombi yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo ,vyeti vya kidato cha nne au cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho, vyeti vya kuzaliwa na vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wadondoka au kupotea. Astashahada/ stashahada/cheti, cheti za mitihani ya kidato cha IV NA VI, cheti cha kompyuta, picha moja ya “passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
6. Testimonials “provisional result” statement of result hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV AND VI RESULTS SLIPS) havitakubaliwa.
7. Waombaji waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibari cha katibu mkuu kiongozi.
8. Uwasilihaji wa taalifa na sifa za kugushi wahsika watachukuliwa hatua za kisheria.
9. Mwiisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 16 desemba 2014.
Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo:- Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya, Au
S.L.P.52,
Mkuu-Rombo.
District Executive Director,
Rombo District Council,
P.O. Box 52,
Mkuu-Rombo
=========
MSAIDIZI WA OFISI (OFFICE ASSISTANT) (NAFASI 8)
MAJUKUMU YA KAZI.
Kufanya usafi wa Ofisi na Mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia,kufuta vumbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua au miti na kusafisha vyoo. .
Kuchukua na kupeleka majalada na hati nyingine kwa maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
Kusambaza barua za ofisi kama jinsi atakavyoelekezwa. Kutayarisha chai ya Ofisi.
Kupeleka mfuko wa posta na kuchukua barua kutoka Posta.
Kuhakikisha kwamba vifaa vya ofisi vinawekwa sehemu zinazostahili.
Kufungua Milango na Madirisha ya Ofisi wakati wa Asubuhi, na
Jioni kuyafunga baada ya saa za kazi.
Kurudufu barua au machapisho kwenye mashine za kurudufia.
Kuweka katika majalada nakala za barua zilizochapwa katika
ofisi walizomo.
Kutunza vifaa vya Ofisi na kutoa ripoti kila vinapoharibika.
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofaulu vizuri katika
masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati.
MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya Mishahara TGOS A kwa mwezi.
MASHART YA JUMLA KWA KAZI ZOTE:
1. Waoombaji weote wawe raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45.
2. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma na wamejipatia sifa katika kada tofauti walizo nazo wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiridhishe ipasavyo.
3. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha; kuto kuzingatia hili kutasababisha maombi kuwa batili.
4. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitoshereza (detailed CV) yenye anuani na namba za simu zaza kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
5. Maombi yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo ,vyeti vya kidato cha nne au cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho, vyeti vya kuzaliwa na vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wadondoka au kupotea. Astashahada/ stashahada/cheti, cheti za mitihani ya kidato cha IV NA VI, cheti cha kompyuta, picha moja ya “passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
6. Testimonials “provisional result” statement of result hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV AND VI RESULTS SLIPS) havitakubaliwa.
7. Waombaji waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibari cha katibu mkuu kiongozi.
8. Uwasilihaji wa taalifa na sifa za kugushi wahsika watachukuliwa hatua za kisheria.
9. Mwiisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 16 desemba 2014.
Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo:- Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya, Au
S.L.P.52,
Mkuu-Rombo.
District Executive Director,
Rombo District Council,
P.O. Box 52,
Mkuu-Rombo
=========
MCHAPA HATI II (NAFASI 1)
MAJUKUMU YA KAZI
Kuchapa taarifa za Uthamni na Hati za Fidia
Kuchapa Nyaraka na hati za kumiliki Ardhi.
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au Sita waliofaulu
mtihani wa Uhazili hatua ya II kutoka chuo cha Utumishi wa
Umma na ujuzi wa Kompyuta hatua ya I na II kutoka Vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali.
MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya Mshahara TGS.B
kwa mwezi.

KATIBU MAHSUSI III (NAFASI 7)
MAJUKUMU YA KAZI:
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza
sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
Kusaidia kutunza kumbukumbu/taarifa za matukio, mihadi,
wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi
zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi
na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka
au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo
ofisini.
Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa
wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu tarifa zozote anazokuwa
amepewa na wasaidizi hao.
Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika
sehemu alipo, na kuyakusanya,kuyatunza na kuyarudisha
sehemu zinazohusika.
Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi
wake wa kazi.
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa Wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria mafunzo ya
Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu
somo la Hati mkato ya Kiswahili na Kiinqereza maneno 80 kwa
dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka
kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata
cheti katika program za Window, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS.B kwa mwezi.

FUNDI SANIFU MSAIDIZI (ROADS) (NAFASI 1)
MAJUKUMU YA KAZI.
Kufanya marekebisho madogo madogo ya barabara katika eneo la Halmashauri
Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa waliomaliza kidato cha IV katika ma somo ya"
Sayansi na kufuzu mafunzo ya mwaka mmoja ya fani za
Ufundi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa naSerikali AU
Kuajiriwa waliomaliza kidato cha IV wenye cheti cha majaribio yaufundi Hatua ya II kutoka Chuo cha Ufundi katika maojawapo ya fani za Ufundi.
MSHAHARA:
Kwa kuzingatia ngazi za Mishahara ya Serikali yaani TGS A kwa mwezi.
MASHART YA JUMLA KWA KAZI ZOTE:
1. Waoombaji weote wawe raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45.
2. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma na wamejipatia sifa katika kada tofauti walizo nazo wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiridhishe ipasavyo.
3. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha; kuto kuzingatia hili kutasababisha maombi kuwa batili.
4. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitoshereza (detailed CV) yenye anuani na namba za simu zaza kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
5. Maombi yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo ,vyeti vya kidato cha nne au cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho, vyeti vya kuzaliwa na vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wadondoka au kupotea. Astashahada/ stashahada/cheti, cheti za mitihani ya kidato cha IV NA VI, cheti cha kompyuta, picha moja ya “passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
6. Testimonials “provisional result” statement of result hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV AND VI RESULTS SLIPS) havitakubaliwa.
7. Waombaji waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibari cha katibu mkuu kiongozi.
8. Uwasilihaji wa taalifa na sifa za kugushi wahsika watachukuliwa hatua za kisheria.
9. Mwiisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 16 desemba 2014.
Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo:- Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya, Au
S.L.P.52,
Mkuu-Rombo.
District Executive Director,
Rombo District Council,
P.O. Box 52,
Mkuu-Rombo
=========
MTENDAJI WA KIJIJI III (NAFASI 1 )
MAJUKUMU YA KAZI.
Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao; kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji.
Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
Katibu wa Mikutano na kamati za Halmashauri ya Kijiji.
Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na
kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umasikini na kuongeza uzalishaji mali.
Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji
Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na Nyaraka za Kijiji.
Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji.
Kupokea,kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji; na Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, Sheria.Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS.B kwa mwezi.
MASHART YA JUMLA KWA KAZI ZOTE:
10. Waoombaji weote wawe raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45.
11. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma na wamejipatia sifa katika kada tofauti walizo nazo wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiridhishe ipasavyo.
12. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha; kuto kuzingatia hili kutasababisha maombi kuwa batili.
13. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitoshereza (detailed CV) yenye anuani na namba za simu zaza kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
14. Maombi yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo ,vyeti vya kidato cha nne au cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho, vyeti vya kuzaliwa na vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wadondoka au kupotea. Astashahada/ stashahada/cheti, cheti za mitihani ya kidato cha IV NA VI, cheti cha kompyuta, picha moja ya “passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
15. Testimonials “provisional result” statement of result hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV AND VI RESULTS SLIPS) havitakubaliwa.
16. Waombaji waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibari cha katibu mkuu kiongozi.
17. Uwasilihaji wa taalifa na sifa za kugushi wahsika watachukuliwa hatua za kisheria.
18. Mwiisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 16 desemba 2014.
Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo:- Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya, Au
S.L.P.52,
Mkuu-Rombo.
District Executive Director,
Rombo District Council,
P.O. Box 52,
Mkuu-Rombo
M.A Maje
MKURUGENZI MTENDAJI ROMBO
CHANZO: MWANANCHI LA TAR 2 DESEMBA 2014.
Ajira Katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo - Dec 2014
Reviewed by Unknown
on
7:03:00 AM
Rating: