HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji (W) Ulanga anawatangazia wananchi wote walio na sifa kwamba nafasi za kazi kama zifuatavyo

NAFASI; KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (NAFASI 5)
SIFA
• Awe amehitimu kidato cha Nne au Sita na kutunukiwa cheti
• Awe amehitimu na kufaulu mafunzo ya Uhazili au Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kufuzu Mtihani wa hatua ya tatu
KAZI ZA KUFANYA
• Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
• Kusaidia kupokea wageni na kuwaelekeza
• Kutunza taarifa mbalimbali
• Kusaidia kutafuta majalada na nyaraka mbalimbali
MSHAHARA; kiwango cha mshahara ni ngazi ya TGS.B yaani 345,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI
• Awe ni raia wa Tanzania
• Awe na umri wa miaka 18-41
• Awe hajawahi kuhukumiwa na kufungwa/kukabiliwa na kosa la jinai au kufukuzwa kazi.
• Watumishi wa umma walioajiliwa hawapaswi kuomba
• Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuambatanisha makala za vyeti vya Shule na taaluma, passport size mbili (2)
• CV
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/01/2015 saa 9:30 Alasiri na maombi yote yatumwe kwa anwani
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 22
MAHENGE/ULANGA
==========
NAFASI; MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI DARAJA LA III (NAFASI 2)

• Awe amehitimu kidato cha Nne au Sita
• Wenye cheti cha Utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani ya Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi
KAZI ZA KUFANYA
• Kutafuta kumbukumbu, nyaraka na majalada yanayohitajiwa
• Kuthibiti upokeaji na uandikishaji wa kumbukumbu
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu
• Kuweka kumbukumbu katika majalada

NAFASI; AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II

• kuajiriwa kidato cha Nne au sita
• wenye cheti cha mafunzo ya miaka miwili katika fani ya maendeleo ya jamii kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
KAZI ZA KUFANYA
• kuratibu shughuli zote za maendeleo ya jamii kwa kuzingatia jinsia
• kuhamasisha kuondokana na mila potofu
• kuelimisha jamii kuhusu masuala ya watoto

===========
NAFASI; AFISA MTENDAJI KIJIJI DARAJA LA III (NAFASI 32)

• kuajiriwa kidato cha Nne au sita na kuendelea na kuhitimu mafunzo ya stashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo; Utawala, sheria, Elimu ya Jamii na Maendeleo ya jamii kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
KAZI ZA KUFANYA
• kusimamia ulinzi na usalama wa raia katika eneo lake
• katibu wa mikutano yote ya Halmashauri ya Kijiji
• kuandaa taarifa ya utekelezaji na kuwasilisha
• afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa serilkali ya Kijiji

==============

AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA - DESEMBA 2014
Reviewed by Unknown
on
1:25:00 AM
Rating: