HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji (W) Ulanga anawatangazia wananchi wote walio na sifa kwamba nafasi za kazi kama zifuatavyo

NAFASI; MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI DARAJA LA III (NAFASI 2)
SIFA
• Awe amehitimu kidato cha Nne au Sita
• Wenye cheti cha Utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani ya Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi
KAZI ZA KUFANYA
• Kutafuta kumbukumbu, nyaraka na majalada yanayohitajiwa
• Kuthibiti upokeaji na uandikishaji wa kumbukumbu
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu
• Kuweka kumbukumbu katika majalada
MSHAHARA; kiwango cha mshahara ni ngazi ya TGS.B yaani 345,000/= kwa mwezi

MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI
• Awe ni raia wa Tanzania
• Awe na umri wa miaka 18-41
• Awe hajawahi kuhukumiwa na kufungwa/kukabiliwa na kosa la jinai au kufukuzwa kazi.
• Watumishi wa umma walioajiliwa hawapaswi kuomba
• Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuambatanisha makala za vyeti vya Shule na taaluma, passport size mbili (2)
• CV
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/01/2015 saa 9:30 Alasiri na maombi yote yatumwe kwa anwani
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 22
MAHENGE/ULANGA

MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI DARAJA LA III (NAFASI 2)
Reviewed by Unknown
on
3:43:00 AM
Rating: