AJIRA ZA UTUMISHI - TAARIFA MUHIMU - 10/25/2016

Serikali yakanusha kusema ajira rasmi za Serikali ni mpaka Februari 2017, yasema ni uzushi. Yaonya wanaosambaza taarifa za uongo. Imesema, suala la Ajira mpya litafanyika kwa kuzingatia Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha2016/17. Malipo ya stahili za watumishi wa umma yatafanywa na Serikali kwa kuzingatia, Sheria, Kanuni na Taratibu zilizopo.
AJIRA ZA UTUMISHI - TAARIFA MUHIMU - 10/25/2016 AJIRA ZA UTUMISHI - TAARIFA MUHIMU - 10/25/2016 Reviewed by Unknown on 8:51:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.