Loading...

NAFASI ZA KAZI UTUMISHI - ZANZIBAR GOVERNMENT JOBS - 4/14/2016


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA AFYA

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa kada mbali mbali katika Wizara ya Afya Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

AFISA AFYA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL HEALTH OFFICER) ‘Nafasi (2)’ - PEMBA

Afisa Maabara Tiba (Medical Lab. Technologist)
Fundi Sanifu Maabara (Medical Lab. Technicians)
Fundi Sanifu Vifaa, Tiba (Biomedical Technicians)-Pemba
Fundi Sanifu Vifaa, Tiba (Biomedical Technicians)-Unguja(x 3)
Fundi Sanifu Madawa (Pharmaceutical Technicians)-x 2
Wauguzi (Nurses)-Pemba(x 4)
Wauguzi (Nurses)-Unguja(x 8)
Afisa Tabibu (Clinical Officer)-Pemba
Afisa Tabibu (Clinical Officer)-Unguja

APPLICATION INSTRUCTIONS:

• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-

KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.
• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao katika Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Chake Chake Pemba.
Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-

a) Kivuli cha kumalizia masomo
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 15 Aprili, 2016 wakati wa saa za kazi.
• Muombaji anatakiwa aiainishe nafasi ya kazi anayoiomba kati ya zilizotajwa hapo juu vinginevyo maombi yake hayatazingatiwa.


Newer Posts Older Posts
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

LIKE US ON FACEBOOK

© Copyright KaziBongo | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top