Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo anawatangazia wafuatao kufika kwenye usaili wa ana kwa ana tarehe 18/6/2015 na 19/06/2015 utakaofanyika saa 3:00 asubuhi katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya namtumbo . wahusika wafike na vyeti halisi .
MAJINA NA MAELEZO MENGINE YAKO KWENYE GAZETI LA MTANZANIA JUMATANO JUNI 3 , 2015 .
MAJINA NA MAELEZO MENGINE YAKO KWENYE GAZETI LA MTANZANIA JUMATANO JUNI 3 , 2015 .
TANGAZO LA USAILI - HALMASHAURI YA NAMTUMBO - 6/3/2015
Reviewed by Unknown
on
2:42:00 AM
Rating: