Na majina 437 Kati ya 570 nayo yametoka leo!!!
Sergeant wanatakiwa kuripoti Ukonga Magereza tar 15/6/2014 na Constable wanatakiwa kuripoti Kiwira tar 29/6/2014.....
Majina yametoka kwenye magazeti ya Mwananchi, Uhuru na mengineyo
Kuitwa Kazini Jeshi la Zimamoto na Uokoaji , 10/06/2014
Reviewed by Unknown
on
5:51:00 AM
Rating: