Kumb. Na
EA.7/96/01/G/09 01 Aprili, 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA
KAZI
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma
ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya
mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1).
Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu
la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba
ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika
Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa
kujaza nafasi 482 za kazi kwa waajiri mbalimbali kama ifuatavyo:
MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i.
Waombaji
wote wawe ni Raia wa Tanzania.
ii.
Waombaji
wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii.
Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa
Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo,
wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri
wajiridhishe ipasavyo.
iv.
Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe katika
kichwa cha habari cha barua na juu ya bahasha, kutozingatiwa hili kutasababisha
maombi ya kazi kuwa batili.
v.
Waombaji waambatishe maelezo binafsi
yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika
pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na
vyeti vya taaluma, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa
wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa
kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa
uwezekano wa kudondoka au kupotea.
-
Shahada
ya juu/Shahada/Stashahada ya juu/Stashahada/Astashahada.
-
Cheti
cha mtihani wa kidato cha IV na VI
-
Cheti
cha Kompyuta
-
Vyeti
vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
-
Picha
moja “Passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii.
“Transcripts”, “Testmonials”,
“Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne
na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii.
Waombaji
wawe na umri usiozidi miaka 45.
ix.
Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa
Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
x.
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa
katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na
wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa
tarehe 30 Novemba, 2010.
xi.
Uwasilishaji wa taarifa na sifa za
kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii.
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 15 Aprili,
2014
xiii.
Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono
katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira HAURUHUSIWI.
xiv.
Waombaji waliosoma nje ya Tanzania
wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na
NECTA).
xv.
Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya
Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo;-
Katibu, AU Secretary,
Sekretarieti ya Ajira
katika Public Service
Recruitment
Utumishi wa Umma, Secretariat,
SLP.63100, P.O.Box
63100
Dar es Salaam. Dar es Salaam.
2
1.0 AFISA
TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II) – (NAFASI 1)
Nafasi hii ni kwa
ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki.
1.1
MAJUKUMU YA KAZI
·
Kusajili
vizazi, vifo na ndoa na kutoa hati za viapo.
·
Kuweka
kumbukumbu za matukio muhimu,
·
Kuwapokea
na kuwahoji wakimbizi wanaowasili,
·
Kuweka
kumbukumbu za Wakimbizi
·
Kutunza
na kugawa vifaa vya wakimbizi katika makazi.
·
Kuainisha,
kuchambua na kushauri kuhusu matatizo ya wakimbizi.
·
Kusimamia
nidhamu ya wakimbizi.
·
Kusimamia utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni
na Taratibu mbalimbali Serikalini kutegemeana mahali alipo.
·
Kusimamia
kazi za utawala na uendeshaji katika ofisi za Serikali.
·
Kutoa
vitambulisho kwa wakimbizi.
1.2
SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza kutoka Vyuo
Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika fani zifuatazo:- Utawala, Sheria
(baada ya internship), na Menejimenti ya Umma
·
Awe
na ujuzi wa kutumia kompyuta
1.3
MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
2.0 MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II) –
(NAFASI 23)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki, Katibu Mkuu Wizara
ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume
ya Mipango na Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia .
2.1
MAJUKUMU YA KAZI
·
Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge (Kamati
za mahesabu ya Serikali, Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma)
·
Kukusanya takwimu na taarifa mbalimbali za
kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na mipango ya kiuchumi na
kijamii
·
Kufanya
utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla
·
Kufanya
utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika
3
·
Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitajika
katika kubainisha vipaumbele vya ustawi namaendeleo ya jamii.
·
Kutayarisha
na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau
2.2
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha
(major) katika mojawapo ya fani zifuatazo;
·
Uchumi
(Economics)
·
Takwimu
(Statistics )
·
Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc Agriculture
Economics & Agribusness) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu
cha Sokoine au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali na wenye
ujuzi wa kutumia kompyuta
2.3
MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
3.0 MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II) –
(NAFASI 1)
Nafasi hii ni kwa
ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
3.1
MAJUKUMU YA KAZI
·
Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge (Kamati
za mahesabu ya Serikali, Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma)
·
Kukusanya takwimu na taarifa mbalimbali za
kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na mipango ya kiuchumi na
kijamii
·
Kufanya
utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla
·
Kufanya
utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika
·
Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitajika
katika kubainisha vipaumbele vya ustawi namaendeleo ya jamii.
·
Kutayarisha
na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau
3.2
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa
wenye shahada ya Uzamili ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani
ya Uchumi (Economics) au Fedha (Finance) kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa
na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta
4
3.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
4.0 AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY
DEVELOPMENT OFFICER GRADE II) – (NAFASI 2)
Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika
Mashariki na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.
4.1
MAJUKUMU YA KAZI
·
Kuandaa na kupendekeza mipango na mikakakati
ya kubadili fikra za watu ili waweze kuwa na mawazo ya maendeleo sawia na Sera
za Serikali na wakati uliopo
·
Kupitia
mbinu shirikishi kuwezesha jamii kuanzisha miradi ya kijamii kama vile:-
- Usafi wa mazingira
- Ujenzi wa nyumba bora
- Ujenzi wa shule
- Ujenzi wa zahanati
- Kuchimba au
kuzifanyia matengenezo barabara hasa za vijijini
- Ujenzi wa majosho
- Uchimbaji wa visima
vifupi
- Utengenezaji wa
malambo
·
Kuhamasisha
matumizi endelevu ya mazingira
·
Kusambaza na kuhamasisha matumizi ya
teknolojia sahihi kama vile uvunaji wa maji ya mvua, majiko sanifu, matumizi ya
mikokoteni
·
Kuhamasisha watu kutumia huduma za mafunzo ya
Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi
·
Kuwasadia wanachi vijijini kuandaa maandiko
(Project Write ups) ya kuombea fedha za kuendesha miradi yao
·
Kuhamasisha,
kuandaa na kutoa elimu kwa umma kuhusu uraia na Utawala bora
·
Kukusanya, kutunza, kutafsiri na kusambaza
takwimu na kumbukumbu muhimu kwa ajili ya matumizi ya jamii
·
Kuwezesha wananchi kupambana na mila zenye
madhara kwa afya za wanchi hasa wanawake na watoto wa kike, kuenea kwa virusi
vya UKIMWI na magonjwa ya mlipuko.
·
Kuelimisha viongozi wa Serikali za Vijiji,
Dini na Mashirika yasiyo ya Kiserikali kuhusu Sera mbalimbali za Wizara ya
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na kutumia Sera hizo
·
Kutoa
taarifa za hali ya jamii kwa ngazi mbalimbali
5
4.2
SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiriwa wahitimu wa Shahada au Stashahada
ya Juu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali katika
fani zifuatazo:-
§ Maendeleo
ya Jamii (Community Development)
§ Elimu
ya Jamii (Sociology)
§ Masomo
ya Maendeleo (Development Studies)
§ Mipango
na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management)
§ Maendeleo
na Jinsia (Gender and Development)
4.3
MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
5.0 AFISA HABARI II – (NAFASI 3)
Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika
Mashariki na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.
5.1
MAJUKUMU YA KAZI
·
Kukusanya
na kuandika habari.
·
Kupiga
picha.
·
Kuandaa
picha za maonyesho.
·
Kuandaa
majarida na mabango (Posters).
·
Kukusanya
takwimu mbalimbali.
·
Kuandaa
majarida na vipeperushi.
·
Kuhifadhi
picha na kuhudumia maktaba na marejeo.
5.2
SIFA ZA MWOMBAJI
·
Awe na Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu
ya Uandishi wa Habari au sifa inayolingana nayo kutoka chuo kinachotambuliwa na
Serikali.
5.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
6.0 MKAGUZI HESABU WA NDANI II (INTERNAL AUDITOR
II) – (NAFASI 3)
Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika
Mashariki na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.
6.1
MAJUKUMU YA KAZI
6
·
Kusahihisha
na kuidhinisha ripoti za ukaguzi
·
Kusahihisha
na kuidhinisha hoja za Ukaguzi wa ndani
·
Kufanya
kazi zingine atakazopangiwa.
6.2
SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiri wahitimu wa kidato cha sita (VI) wenye
cheti cha kati cha uhasibu (intermediate stage) kinachotolewa na NBAA au sifa
zinazolingana na hizo.
·
AU
·
Wenye shahada/Stashahada ya juu ya uhasibu
kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
6.3 MSHAHARA
·
Kwa
kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
7.0
MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) – (NAFASI 2)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika
Mashariki na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
7.1 MAJUKUMU YA KAZI
·
Kuidhinisha
hati za malipo.
·
Kuandika
taarifa ya mapato na matumizi ya mwezi.
·
Kusimamia
Wahasibu Wasaidizi katika kazi zao za kila siku.
·
Kusimamia
shughuli za uhasibu kwenye Kitengo cha Idara.
·
Kuandika
taarifa ya maduhuli.
7.2 SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiri wahitimu wa kidato cha sita (VI)
wenye cheti cha kati cha uhasibu (intermediate stage) kinachotolewa na NBAA au
sifa zinazolingana na hizo.
AU
·
Wenye shahada/Stashahada ya juu ya uhasibu
kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
7.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
8.0
MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 100)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
7
·
Kufanya
doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
·
Kudhibiti
vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi
·
Kusimamia
shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha
·
Kulinda
binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori
·
Kukusanya
na kulinda Nyara za Serikali
·
Kufanya
usafi na ulinzi wa kambi
·
Kusimamia
uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi
·
Kukusanya
na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani
·
Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi
ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao
·
Kusimamia
taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi
·
Kudhibiti wanyamapori waharibifu
·
Kudhibiti
moto kwenye hifadhi
·
Kufanya
kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
8.2 SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato
cha VI wenye Astashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Technician Certificate in
Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo
kingine kinachotambuliwa na Serikali.
8.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS B2 kwa mwezi.
9.0
MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 327)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
9.1 MAJUKUMU YA KAZI
·
Kufanya
doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
·
Kudhibiti
vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi
·
Kusimamia
shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha
·
Kulinda
binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori
·
Kukusanya
na kulinda Nyara za Serikali
·
Kufanya
usafi na ulinzi wa kambi
·
Kusimamia
uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi
·
Kukusanya
na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani
·
Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi
ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao
8
·
Kusimamia
taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi
·
Kudhibiti
wanyamapori waharibifu
·
Kudhibiti
moto kwenye hifadhi
·
Kufanya
kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
9.2 SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato
cha VI wenye Astashahada ya Awali ya Uhifadhi wa Wanyamapori (Basic Technician
Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori
Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
9.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS B1 kwa mwezi.
10.0 MHIFADHI WANYAMAPORI
DARAJA LA II – (NAFASI 10)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
10.1
MAJUKUMU YA KAZI
·
Kufanya
doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
·
Kudhibiti
vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi
·
kusimamia
uwindaji wa kitalii na utalii wa picha
·
kulinda
Nyara za Serikali
·
Kusimamia
usafirishaji wa wanyamapori na nyara nje na ndani ya Nchi
·
Kusimamia
matumizi ya magari ya doria
·
Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi
ya wanyamapori na kutunza takwimu zao
·
Kuratibu
uingiaji wa wageni katika Mapori ya Akiba
·
Kudhibiti
moto katika hifadhi
·
Kukusanya
na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani
·
Kukusanya
takwimu za wanyama na mimea kwenye hifadhi
·
Kufanya
kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
10.2
|
SIFA ZA MWOMBAJI
|
·
|
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV
au kidato cha VI wenye Stashahada ya
|
|
Uhifadhi Wanyamapori
(Diploma in Wildlife
Management) kutoka Chuo
cha
|
|
Usimamizi Wanyamapori Mweka au Chuo
kingine kinachotambuliwa na Serikali.
|
10.3
|
MSHAHARA
|
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS C kwa mwezi.
9
11.0 DEREVA DARAJA LA II
(DRIVER II) – (NAFASI 2)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.
11.1
MAJUKUMU YA KAZI
·
Kuendesha
magari ya abiria, magari madogo na malori
·
Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika
hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari
ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo,
·
Kufanya
matengenezo madogo madogo katika gari,
·
Kutunza
na kuandika daftari la safari “Log-book” kwa safari zote.
11.2
SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato
cha IV, Wenye Leseni daraja la “C” ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha
magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali na wenye Cheti
cha Majaribio ya ufundi Daraja la II (Trade test II).
11.3
MSHAHARA
Kwa
kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGOS.A kwa mwezi.
12.0 AFISA
USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER GRADE II ) – (NAFASI 1)
Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mtendaji
Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.
12.1 MAJUKUMU YA KAZI
·
Kutayarisha gharama za uendeshaji wa usafiri
kwa ajili ya kusaidia kutoa maamuzi.
·
Kuhakikisha kuwa takwimu na kumbukumbu
zinazohusu vyombo vya usafiri pamoja na mitandao yake zinatunzwa vyema na kwa
usahihi. Kuandaa takwimu zinazohusu maendeleo ya ukuaji wa sekta ya
usafirishaji, na kuwasilisha kwa watumiaji ndani na nje ya nchi.
·
Kukusanya
takwimu za usafirishaji nchini.
·
Kukadiria na kushauri juu ya utendaji wa
miradi mbalimnbali ya sekta ya usafirishaji.
·
Kutekeleza
majukumu mengine yanayohusu sekta ya usafirishaji
12.2 SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiriwa wenye Stashahada ya kawaida ya
Usafirishaji kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
10
12.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS C kwa mwezi
13.0 AFISA MAZINGIRA
DARAJA LA II – (NAFASI 1)
Nafasi hii ni kwa
ajili ya Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.
13.1 MAJUKUMU YA KAZI
·
Kukusanya Takwimu na Taarifa mbalimbali
zinazohusu Usimamizi na Hifadhi ya Mazingira.
·
Kutoa
(disseminate) elimu ya Hifadhi ya Mazingira kwa Wadau mbalimbali.
·
Kushiriki
katika kuandaa Mpango wa kazi na bajeti.
·
Kushiriki katika tafiti zinazohusu Usimamizi
na Hifadhi ya Mazingira.
·
Kufuatilia utekelezaji wa Sera na Sheria
zinazohusiana na Usimamizi wa Mazingira.
·
Kufuatilia
na Kuainisha Maeneo yanayopaswa kuhifadhiwa.
·
Kufanya
kazi nyingine atakazopangiwa kulingana na uwezo na taaluma yake.
13.2 SIFA ZA MWOMBAJI.
·
Kuajiriwa wahitimu wenye Shahada ya kwanza ya
Sayansi/Sanaa yenye mwelekeo wa Usimamizi na Hifadhi ya Mazingira katika moja
ya fani zifuatazo,
‘Geography and Environmental Studies, Aquatic
Environmental Science and Conservation, Environmental Science and Management,
Environmental
Laboratory
Science Technology, Environmental Planning and Management’ au sifa
zinazolingana na hizo kutoka Vyuo vinavyotambulika na Serikali.
13.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
14.0 MSAIDIZI WA
KUMBUKUMBU (REGISTRY ASSISTANT) – (NAFASI 1)
Nafasi hii ni kwa
ajili ya Mkurugenzi Mtendaji Mfuko wa Pembejeo za Kilimo na Mifugo.
14.1 MAJUKUMU YA KAZI
·
Kusimamia
usahihi (accuracy) wa kumbukumbu.
·
Kugawa
kazi na kusimamia kazi zote za masjala.
·
Kuangalia
barua zote zinazoingia, kutoka na kuweka kwenye majalada husika.
·
Kutunza diary za (Bring up) na kuhakikisha
zinafanyiwa kazi kwa wakati muafaka.
·
Kufanya
kazi nyingine atakazopangiwa kulingana na uwezo na taaluma yake.
11
14.2
SIFA ZA MWOMBAJI.
·
Kuajiriwa wahitimu wenye Stashahada ya Kumbukumbu (Diploma in Records
Management) kutoka Vyuo vinavyotambulika na
Serikali.
·
Awe na uzoefu wa miaka Sita (6) katika fani hii.
14.3
MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi
za mishahara ya Taasisi yaani GSS 5 kwa mwezi.
15.0 AFISA
MTENDAJI WA KATA DARAJA LA II (WARD EXECUTIVE OFFICER GRADE II) – (NAFASI 5)
Nafasi hizi ni kwa
ajili ya Halmashauri.
MAJUKUMU
YA KAZI
·
Atakuwa Mtendaji Mkuu wa Kata na kiungo cha
Uongozi kwa Idara zote katika kata na atashughulikia masuala yote ya kata
·
Atakuwa Mhamasishaji mkuu wa Umma katika
mikakati mbalimbal.i ya uzalishaji, mali, kuondoa njaa na Umasikini.
·
Atakuwa
ni Katibu wa kamati ya maendeleo ya kata.
·
Ataratibu na kusimamia upangaji wa shughuli
za maendeleo ya kata, vijiji na Mtaa.
·
Atatafsiri sera na kusimamia utekelezaji wa
sheria ndogondogo katika Kata yake.Atamsaidia Mkurugenzi Kuratibu na kusimamia
shughuli za Uchaguzi katika Kata.
·
Kumsaidia na kumwakilisha Mkurugenzi katika
kusimamia maendeleo ya eneo lake.
·
Kusimamia utendaji kazi wa wataalamu na
watendaji wengine katikangazi ya Kata.
·
Kuratibu na kuandaa taarifa za utekelezaji na
kuziwasilisha kwa mkurugenzi na nakala kwa Katibu Tarafa.
·
Atakuwa mwenyekiti katika vikao
vinavyowahusisha wataalamu na watendaji wa vjiji, na NGO’S katika kata yake.
·
Atakuwa Msimamizi na mratibu wa takwimu zote
zinazokusanywa katika vijiji, vitongoji, na kata yake.
15.1 SIFA ZA MWOMBAJI.
·
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sanaa yenye
mwelekeo wa Sayansi ya Jamii (Social Sciences) Utawala, (Public Administration
and Local Gorvernment), Sheria au Sifa nyingine inayolingana na hizo kutoka
Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Kwa
kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS D. kwa mwezi.
Ref. Na
EA.7/96/01/G/08 01stApril, 2014
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf ofTanzania Food and Nutrition
Centre (TFNC), Tea Board of Tanzania
(TBT), Occupational Safety and Health Authority (OSHA), College of Business
Education (CBE), Tanzania Institute of Education (TIE) and The Institute of
Rural Development Planning (IRDP), Public Service Recruitment Secretariat invites
qualified Tanzanians to fill 8 vacant posts in the above Public
Institutions.
NB: GENERAL CONDITIONS
i.
All applicants must be Citizens of Tanzania
and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each
position where indicated.
ii.
Applicants must attach an up-to-date current
Curriculum Vitae (CV) having reliable contact, postal address, e-mail and
telephone numbers.
iii.
Applicants
should apply on the strength of the information given in this advertisement.
iv.
The title of the position and
institution applied for should be written in the subject of the application
letter and marked on the envelope; short of which will make the application
invalid.
v.
Applicants
must attach their detailed relevant certified copies of academic certificates:
-
Postgraduate/Degree/Advanced
Diploma/Diploma/Certificates.
-
Postgraduate/Degree/Advanced
Diploma/Diploma transcripts.
-
Form
IV and Form VI National Examination Certificates.
-
Computer
Certificate
-
Professional
certificates from respective boards
-
One
recent passport size picture and birth certificate.
1
vii.
Testimonials, Partial transcripts and results slips will
not be accepted.
viii.
Presentation of forged academic
certificates and other information in the CV will necessitate to legal action
ix.
Applicants for senior positions currently
employed in the public service should route their application letters through
their respective employers.
x.
Applicants for entry levels currently
employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to
Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th
November, 2010.
xi.
Applicants who have/were retired from the
Public Service for whatever reason should not apply.
xii.
Applicants
should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
xiii.
Certificates from foreign examination
bodies for ordinary or advanced level education should be certified by The
National Examination Council of Tanzania (NECTA)
xiv.
Certificates from foreign Universities
should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU)
xv.
Deadline for application is 15th April, 2014 at 3:30 p.m
xvi.
Applicants
with special needs/case (disability) are supposed to indicate
xvii. Women are highly
encouraged to apply
xviii.
Only
short listed candidates will be informed on a date for interview
xix.
Application
letters should be written in Swahili or English
APPLICATION
LETTERS SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING ADDRESS. HAND DELIVERY IS NOT
ACCEPTABLE:
Secretary
|
OR
|
Katibu
|
Public Service
Recruitment
|
|
SekretarietiyaAjirakatika
|
Secretariat,
|
|
UtumishiwaUmma
|
P. O. Box 63100
|
|
S. L. P 63100,
|
DAR ES SALAAM.
|
|
DAR ES SALAAM.
|
2
Tanzania
Food and Nutrition Centre (TFNC) is a Government Institution under the Ministry
of Health and Social Welfare. The Centre is responsible for spreading nutrition
activities in the country with the objectives of controlling and reducing all
forms of malnutrition.
1.1
SENIOR RESEARCH OFFICER I, SOCIOLOGY - 1 POST
1.2
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·
Design social anthropological approaches to nutrition research and
interventions
·
Participate in the formulation of policies
and strategies dealing with nutrition and gender mainstreaming in nutrition
programs and projects;
·
Participate
in monitoring and evaluation of nutrition projects progress and impact;
·
Participate
in the co-ordination of institutional and sectoral research activities;
·
Participate
in providing consultancy services on
sociological aspects;
·
Participate in designing social
anthropological approaches to nutrition research and interventions;
·
Participate
in data collection, analysis and interpretation;
·
Participate
in preparation of project progress reports;
·
Conduct
in-service training for in-house and other service providers;
·
Identify
and analyze sociological problems related to nutrition;
·
Participate
in developing research proposals;
·
Prepare
regular progress reports;
·
Participate
in monitoring and evaluation of project implementation;
·
Perform
any other duties assigned.
1.2.1 QUALIFICATION AND EXPERIENCE
·
Master’s Degree in Sociology from a
recognized institution with at least ten (10) years of research work experience
in a reputable organization and at least four (4) publications after attaining
Master’s DegreeSalary Scale will be PRSS 9.
OR
·
Master’s Degree in Sociology from a
recognized institution with at least ten (12) years of research work experience
in a reputable organization and at least four (5) publications after attaining
Master’s DegreeSalary Scale will be PRSS 10.
1.2.2 REMUNERATION
·
Attractive
remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale PRSS
9/10
1.3
SENIOR RESEARCH OFFICER I, NUTRITION -1 POST
1.3.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·
Prepare project proposals, budget and action
plans;
·
Monitor
and evaluate project progress and impact;
3
·
Prepare
regular project reports
·
Coordinate
research activities
·
Provide
consultancy services in nutrition
·
Conduct
nutritional interventions;
·
Prepare
project progress reports
·
Conduct
in-service training for in house and other service providers
·
Participate
in planning nutritional interventions;
·
Participate
in developing research proposals;
·
Perform
any other duties assigned.
1.3.2 QUALIFICATION AND EXPERIENCE
·
Master’s Degree in Human Nutrition, Home
Economics (Food and Nutrition), Public Health or related fields, from a
recognized institution with at least ten (10) years of research work experience
in a reputable organization and at least four (4) publications after attaining
Master’s DegreeSalary Scale will be PRSS 9.
OR
·
Master’s
Degree in Human Nutrition, Home Economics (Food and Nutrition), Public
Health or related fields, from a recognized
institution with at least ten (12) years of research work experience in a
reputable organization and at least four (5) publications after attaining
Master’s DegreeSalary Scale will be PRSS 10.
1.3.3 REMUNERATION
·
Attractive remuneration package in accordance
with the Institution’s Salary Scale PRSS
9/10
2.1
OCCUPATIONAL SAFETY AND HEALTH AUTHORITY - OSHA
Occupational
Safety and Health Authority (OSHA) is a Government Executive Agency Established
under the Executive Agencies Act No. 30 of 1997. Its main function is to
promote a good, sound and a healthy working environment by enforcing the
Occupational Safety and Health Act. No.5 of 2003 through inspection of work
places to detect hazards which can affect the health of workers, conducting
medical examination to workers, providing education and conducting training in
Occupational Safety and Health. The ultimate goal is to have a healthy worker
at a healthy work environment so as to increase productivity.
OSHA is hereby
inviting applications from qualified Tanzanian to fill the following posts;
2.1
MEDICAL OFFICER II - 1 POST
2.1.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·
Take part in specific occupational health
programmes for both workers and management
·
Provide input for occupational health surveys
and researches e.g by preparing articles on Occupational Safety and Health.
4
·
Provide input to Public Relation Office on
occupational medicine issues to be delivered to media, Government agencies,
workers and management
·
Interpret scientific data collected during
investigations and recommend appropriate control methods
·
Ensure compliance with set standards and
guideline in occupational health services at workplaces
·
Provide effective measures to protect those
who are vulnerable such as disabled persons and pregnant or nursing women at
workplaces.
·
Carry out health examinations and health
surveillance of workers to establish and maintain database on health status of
workers in different workplace settings for use in occupational health
management
·
Conduct risk assessments and general
inspections at workplaces and identify work conditions that contribute to the
overall ill health of workers and suggest improvement measure by finding root
causes
·
Participate in assessment of workers
disability as a result of occupational illnesses and injuries for the purpose
of worker compensation and or rehabilitate programmes
·
Provide advice on workers rehabilitation
programmes for workers with work related problems such as disabilities to
regain their normal health status
·
Investigate
and report on occupational accidents and occupational diseases
·
Monitor and detect occupational disease or
conditions with regard to prevalence in known and unknown activities
·
Conduct
follow up inspections to ensure corrective measures have been implemented
·
Performing any other related duties as may be
assigned by the Head (Occupational Medicine)
2.1.2
|
QUALIFICATIONS AND
EXPERIENCE
|
·
|
Bachelor Degree
in Medicine or equivalent qualification from a recognized institution.
|
2.1.3
|
REMUNERATION
|
·
Attractive
remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale OSHA
SCALE
– 7.1.
3.1
COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION - CBE
The
College of Business Education is established by Act of Parliament No. 31 of
1965. College of Business Education is a training Government Executive Agency
operating ‘semi’ autonomously and commercially in providing education in
Accountancy, Procurement & Supplies Management and other business related
disciplines.
The
College of Business Education (CBE) invites applicants from suitably qualified
Tanzanian citizens to fill the following vacant posts.
5
3.1.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·
Directs implementation of accounting function
by ensuring correction, classification, recording and reconciliation of
accounting data.
·
Prepares
financial statements before they are audited.
·
Prepares
estimates of Income and Expenditure.
·
Implements
directives on financial matters.
·
Performs
any other related duties as may be assigned by the supervisor.
3.1.2
|
QUALIFICATIONS AND
EXPERIENCE
|
·
|
CPA (T)
qualifications with working experience of eight (8) years in the accounting
field.
|
|
He must be registered by NBAA as an
Authorized Accountant.
|
3.1.3
|
REMUNERATION
|
·
Attractive
remuneration package in
accordance with the
Institution’s Salary Scale
SalaryPGSS
20.
3.2
COMPUTER /LAB TECHNICIAN II - 1 POST
3.2.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·
Install, configure, test, maintain, monitor,
and troubleshoot end user networked peripheral devices, workstation hardware,
and networking hardware products.
·
Liaise with, and provide support and training
to staff and end users on computer operation issues.
·
Develop and maintain an inventory of
keyboards, hard drives, printers, modems, scanners, monitors, and other
peripheral devices.
·
Receive and respond to incoming calls,
e-mails, or pages regarding hardware and PC problems.
·
Conductresearch on various products of
computer in support of its development and procurement efforts.
·
Prepare
documents on instances of hardware repair, installation, failure, and removal.
·
Evaluate
and recommend hardware products of PC for purchase.
·
Perform
any other relevant duties assigned by Supervisor.
3.2.2
|
QUALIFICATIONS AND
EXPERIENCE
|
·
|
Diploma in Computer Studies with
proven knowledge of Windows/Linux servers and
|
|
should have knowledge of MS Office.
|
3.2.3
|
REMUNERATION
|
6
·
Attractive
remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale PGSS
6/7.
4.1
TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION - TIE
Tanzania
Institute of Education is a public Non-university Institution of Higher
Learning under the Ministry of Education and Vocational Training. The Institute
was established by Act No.13 of 1975 (CAP 142 R.E.2002). The main functions of
the Institute are; design and develop curricula for Pre-primary, Primary,
Secondary and Teacher education levels; design and develop teaching and
learning materials for the designated levels of education; To carry out
in-service as well as pre-service training of teachers and other stakeholders
for efficient and effective implementation of curricula; conduct research on
education and use the findings to provide technical advice to the Government
and other stakeholders with the objective of facilitating provision of quality
education.
TIE
invites suitably qualified Tanzanians to fill the following vacancy under the
following terms and conditions:
4.1
ASSISTANT ACCOUNTANT – 1 POST
4.1.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·
Maintains accounts records;
·
Writes books of accounts and other accounting
documents such as journals, petty cash books, ledgers, registers and vouchers;
·
Verifies accuracy of documents and records
relating to payments, receipts and other transactions and makes necessary
calculations and corrections;
·
Makes
and checks entries in Ledgers at regular intervals;
·
Conducts
bank reconciliation;
·
Prepares
wage sheets and effects wage payments;
·
Conducts
banking activities; and
·
Performs
such other duties as may be assigned by immediate supervisor.
4.1.2
|
QUALIFICATIONS AND
EXPERIENCE
|
·
|
Advanced Certificate of Secondary
Education Examination (ACSEE) or Certificate of
|
|
Secondary Education Examination
(CSEE) with Ordinary Diploma in Accountancy or
|
|
equivalent professional
qualifications from a recognized institution plus at least one (1)
|
|
year of working experience in the
relevant field.
|
4.1.3
|
REMUNERATION
|
·
Attractive
remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale PGSS
5-
6.
5.1
THE INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT
PLANNING - IRDP
7
The Institute of Rural Development Planning
(IRDP) was established as a Corporate Body under the Act of Parliament No. 8 of
1980 as a Higher Learning Institute forproviding Training, Research and
Consultancy services in the fields of Rural Development Planning.
The Institute now invites applications from
qualified Tanzanians to fill the following vacant post.
5.1
ASSISTANT LECTURER IN ECONOMETRICS - 1 POST
5.1.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·
Teaches up to NTA level 8 (Bachelors Degree);
·
Prepares
learning resources for tutorial exercises;
·
Conducts
research, seminars and case studies;
·
Carries
out consultancy and community services under supervision;
·
Supervises
students’ academic projects;
·
Prepares
module teaching manuals and
·
Performs
any other duties as assigned by supervisor.
5.1.2
QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
·
Masters Degree inEconometricsor equivalent in
the relevant field and Bachelor Degree inEconometricsor equivalent with First
or Upper Second Division in the relevant field.
5.1.3
REMUNERATION
·
Attractive remuneration package in accordance
with the Institution’s Salary Scale PHTS
8/9
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SERIKALINI , APRILI 2014
Reviewed by Unknown
on
7:34:00 AM
Rating: