KUITWA KWENYE USAILI - HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA - JUNI 2015
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya maswa anawatangazia waombaji wa nafasi za kazi waliotuma maombi ya kazi katika halmashauri kufika kwenye usaili utakaofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya maswa tarehe 24 - 25 /06/2015 kuanzia saa 2:00 asubuhi .
Orodha ya majina tazama MWANANCHI , JUMANNE , JUNI 16 , 2015

Reviewed by Unknown
on
12:20:00 AM
Rating: