Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Misungwi anawatangazia wafuatao kuwa anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwaajiri waombai watakaofauli usaili . aidha usaili utakaofanyika ni mahojiano na utafanyika tarehe 27/6/2015 kuanzia saa 7:30 asubuhi katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya misungwi .
MASHARTI NA MAJINA ANGALIA : MWANANCHI - JUMANNE , JUNI 23 , 2015
MASHARTI NA MAJINA ANGALIA : MWANANCHI - JUMANNE , JUNI 23 , 2015
KUITWA KWENYE USAILI - HALMASHAURI YA WILAYA YA MIGUNGWI - JUNI 2015
Reviewed by Unknown
on
9:52:00 AM
Rating: