HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
1. NAFASI: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II (Nafasi 4)
A. SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe amehitimu kidato cha nne au cha sita utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Masjala, Afya, Mahakama na Ardhi
B.
ii. Kutafuta kumbukumbu/Nyaraka/Majalada yanayohitajika na wasomaji
iii. Kudhbiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/Nyaraka
iv. Kuchambua kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/Nyaraka katika makundi kulingana na somo husika kwa matumizi ya Ofisi
v. Kuweka kupanga kumbukumbu/Nyaraka katika majalada
vi. Kuweka barua, nyaraka katika reki katika masjala ya vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu
vii. Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/Nyaraka kutoka taasisi za serikali
C. MSHAHARA
Nafasi hii inangazi ya mshahara ya TGS B yaani kuanzia sh. 345,000/= hadi 428,000/= kwa mwezi na nyongeza ya Sh. 9300/= kwa mwaka
MAELEZO UA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE
1. Mwombaji awe ni raia wa Tanzania mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 45
2. Mwambaji aambatanishe maelezo binafsi (CV) yanayojitosheleza yenye anwani na namba ya simu yenye kuaminika
3. Maombaji yaambatane na nakala za vyeti vya shule (Academic) na taaluma (Professional) ambavyo vimebanwa visuri ili kuepuka kupotea au kudondoka pia uthibitisho wa ujuzi wa kompyuta pamoja na cheti cha kuzaliwa
4. Picha mbili za rangi “passport size” zitakazo bandikwa nyuma
5. Nyaraka zifuatazo hazitakubaliwa
• “Testimonials”
• “Statements of Results”
• “Results Slips” za kidato cha nne au cha sita
6. Barua za maombi ziandikwe kwa lugha FASAHA ya Kiswahili au kiingereza
7. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuridhinishwa na mamlaka husika yaani TCU au NECTA
8. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma wapitishie maombi yao kwa waajiri wao
9. Waombaji watakabidhi sifa na vigezo wataitwa katika usaili ambapo watatakiwa kuja na vyeti halisi (Orijino Certificate)
Mwisho wa maombi ni tarehe 23/03/2015 saa 9:30 Alasiri s
Maombi yanatumwa kwa
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Kankoko
S.L.P 2
Konkoko
Jafra Saidi Msangi
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Kankoko
Source: Mwananchi 16th March 2015
=============
HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
2. NAFASI: KATIBU MAHSUSI III (Nafasi 3)
A. SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe amehatimu kidato cha nne na kuhudhulia mafunzo ya Uhazili na kufaulu Mtihani wa Hatua ya tatu
ii. Awe amefaulu somo la Hati Mkato ya Kiswahili na Kiingereza 80 kwa dakika moja
iii. Awe amepata mafunzo ya Kompyuta katika chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika
B. MAJUKUMU
i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
ii. Kusaidia kupokea wageni, kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kuhudumiwa
iii. Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, Miradi, Wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na kumuarifu wakati unaohitjika
iv. Kusaidia na kumpatia mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao
v. Kusaidia kupokea majalada kuyagawa kwa maofisa wake katika sehemu alipo, kukusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika
vi. Kazi zozote atakazopewa na msimazi wake wa kazi
MSHAHARA
Nafasi hii ina gazi ya mshahara wa TGS D yaani sh. 345,000/= hadi sh. 420,000/= kwa mwezi na nyongeza ya Tshs. 9000/= kwa mwaka
MAELEZO UA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE
1. Mwombaji awe ni raia wa Tanzania mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 45
2. Mwambaji aambatanishe maelezo binafsi (CV) yanayojitosheleza yenye anwani na namba ya simu yenye kuaminika
3. Maombaji yaambatane na nakala za vyeti vya shule (Academic) na taaluma (Professional) ambavyo vimebanwa visuri ili kuepuka kupotea au kudondoka pia uthibitisho wa ujuzi wa kompyuta pamoja na cheti cha kuzaliwa
4. Picha mbili za rangi “passport size” zitakazo bandikwa nyuma
5. Nyaraka zifuatazo hazitakubaliwa
• “Testimonials”
• “Statements of Results”
• “Results Slips” za kidato cha nne au cha sita
6. Barua za maombi ziandikwe kwa lugha FASAHA ya Kiswahili au kiingereza
7. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuridhinishwa na mamlaka husika yaani TCU au NECTA
8. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma wapitishie maombi yao kwa waajiri wao
9. Waombaji watakabidhi sifa na vigezo wataitwa katika usaili ambapo watatakiwa kuja na vyeti halisi (Orijino Certificate)
Mwisho wa maombi ni tarehe 23/03/2015 saa 9:30 Alasiri s
Maombi yanatumwa kwa
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Kankoko
S.L.P 2
Konkoko
Jafra Saidi Msangi
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Kankoko
Source: Mwananchi 16th March 2015
=============
AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO - 3/16/2015
Reviewed by Unknown
on
10:48:00 AM
Rating: