Mtendaji wa Kijiji Daraja Ia III Ngazi ya Mshahara TGS B nafasi 13
Awe na elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI)
Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo, Utawala, Sheria, Maendeleo ya jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Kazi atakazofanya
Afisa Masuuli na mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji Kusimamia ulinzi na usa lama wa Raia na mali zao kuwa mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala bora katika Kijiji. Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo yo Kijiji.
Katibu wa mikutano wa kamati zote za Halmashauri ya Kijiji. Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali.
Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya kitaalam katika Kijiji. Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika Kijiji Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi.
Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo za Kijiji Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Utaratibu wa Kuomba:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015. Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174, TABORA.
Sipara Liana Mkurugenzi wa Manispaa Tabora

Mtendaji wa Kijiji - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
Reviewed by Unknown
on
3:12:00 AM
Rating: