Mtendaji Kata - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora

From Mwananchi, 6 August 2015

Mtendaji Kata Daraja La III TGS D nafasi 1

Sifa za kuingilia
Kuajiriwa wenye Shahada/stashahada yo Juu katika moja ya fani zifuatazo ; Utawala,Rasilimali watu,Sheria ,Elimu ya jamii, Maendeleo yo jamii,Usimamizi. wa fedha,Uchumi na mipango kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali

NA MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KATA
Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao na kuwa mlinzi wa amani katika kata;
Katibu wa kamati ya Maendeleo ya Kata
Kumwakilisha Mkurugenzi wa Halmashsuri katika utekelezaji na usimamizi wa shughuli za maendeleo katika kata
Kuandaa mpango kazi wa maendeleo yo kata na kuwasilisha kwa mkurugenzi wa halmashauri kupitia kwa afisa torafa
Mtendaji mkuu wa kata na ni kiungo cha uongozi kwa idara zote kwenye kata
Mhamasishaji wa umma katika mikakati yo uzalishaji mali kuon njaa na umaskini
Mratibu na msimamizi wa upangaji wa mipango shirikishi ya maendeleo ya kata
Kukuza na kuhimiza uanzishwaji wa vyombo vya ushirika na" shughuli nyingine za maendeleo katika ngazi ya kata
Kuandaa na kupendekeza maoni ya kutengeneza sheria ndogo na kuyawasilisha katika halmashauri ya wilaya ya mji
Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera sheria na kanuni
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Utaratibu wa Kuomba:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015. Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174, TABORA.
Sipara Liana Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Mtendaji Kata - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Mtendaji Kata - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Reviewed by Unknown on 3:11:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.