Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) anawatangazia Wasailiwa waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa mahojiano utakaofanyika kuanzia tarehe 19 – 20 Disemba, 2014 katika Chuo cha Taifa cha Utalii (BUSTANI) Mtaa wa Shaban Robert kwa kuzingatia muda na tarehe kama ratiba inavyoonyesha:-
WALIOITWA KWENYE USAILI BODI YA UTALII - 19 – 20 Disemba, 2014
Reviewed by Unknown
on
2:06:00 AM
Rating: