Community Forests Pemba (CFP) inatangaza nafasi za kazi zifuatazo:-
Administrative Assistant – nafasi 1
Kusaidia kwenye shughuli za ofisi, hasa kutumia kompyuta kuskan, kuprint, nakathalika.
Agriculture Officer – nafasi 1
Kusaidia jamii katika kilimo shambani na mbogamboga katika maeneo ya makaazi.
Agroforestry Officer – nafasi 1
Kusaidia jamii kwenye matayarisho na uendelevu wa kilimo mseto.
Forester – nafasi 1
Kusaidia jamii kwenye maswali ya uongozi wa nurseries na upandaji wa miti.
Beekeeping Officer – nafasi 1
Kusaidia jamii katika ufugaji wa nyuki na kutoa elimu ya kitaalamu.
SIFA ZA WAOMBAJI
Waombaji wanatakiwa wawe wamemaliza diploma au kuwa na miaka mitatu ya uzoefu. Wanatakiwa kuwa na uwezo wa kufanya kazi na usimamizi kiwango cha chini na kuwa na uwezo kwenda fieldi kufanya kazi siku mzima.
JINSI YA KUTUMA
Barua ya maombi yanatakiwa yawasilishwe kwa lugha ya Kiingereza pamoja na CV ya muombaji, na nakala za vyeti vyake. Mwisho wa kupokea maombi ni siku ya Ijumaa tarehe 10 Sep 2014 sa 11:30 asubuhi. Wanawake wenye sifa watapewa kipaumbele.
Maombi yanaweza kuwasilishwa kwa mkono, kwa posta au kwa barua pepe kwenda anuani iliopo hapo chin:-
Community Forests Pemba (CFP)
P.O. Box 177, Wete-Pemba
Minyenyeni - Pemba
Tel: +255 777 42 74 50
Email: cfp@forestsinternational.org
Web: http://www.envaya.org/cfp
P.O. Box 177, Wete-Pemba
Minyenyeni - Pemba
Tel: +255 777 42 74 50
Email: cfp@forestsinternational.org
Web: http://www.envaya.org/cfp
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI PEMBA - 9/3/2014
Reviewed by Unknown
on
1:11:00 AM
Rating: