From the Mwananchi Newspaper of 5th September
Shirika la Masoko ya Karikaoo ni Shirika la Umma lililoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na.32 ya mwaka 1974 na kupewa majukumu ya kusimamia na kuendesha Soko Kuu la Kariakoo pamoja na Masoko mengine yatakayokuwa chini ya usimamizi wa Shirika pia kujenga Masoko mengine mapya katika Jiji la Dar es Salaam na kusimamia uendeshaji wake. Shirika linakaribisha maombi ya kazi
Afisa Ugavi MwandamiziShirika la Masoko ya Karikaoo ni Shirika la Umma lililoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na.32 ya mwaka 1974 na kupewa majukumu ya kusimamia na kuendesha Soko Kuu la Kariakoo pamoja na Masoko mengine yatakayokuwa chini ya usimamizi wa Shirika pia kujenga Masoko mengine mapya katika Jiji la Dar es Salaam na kusimamia uendeshaji wake. Shirika linakaribisha maombi ya kazi
Sifa
Awe na Shahada au Stashahatla ya JUu katika fani ya Manunuzi na Ugavi, "Materials Management", Usimamizi wa Biashara
"Business Administration" au sifa nyingine zinazolingana na hizo kutaka Chuo kinachotambullWa Kisheria. Awe pia na Cheti cha "CPSP" na amesajiliwa na "PSPTB" na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitano (5).
Sifa za kuingilia waliomo kazini
Kupandishwa choo Afisa Manunuzi Mwandamizi, aliyefanya kazi kwa ufanisi katika Choo hicho kwa muda usiopungua miaka milatu.
Awe pia na Shahada ya uzamili.
Kazi na Majukumu
• Kutambua mahilaji ya bidnaa na huduma mbalimbali za Shirika na kijfanya manunuzi kwa wakati muafaka na kwa gharama
nafuu kwa mujibu wa Sheria ya Manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013.
• Kuwashauri wakuu wa Idara na Vrtengo kuhusu kanuni na taratibu sahihi za kufuata wakati wa kufanya manunuzi ya huduma
au bidhaa kwa ajili ya matumiz ya Shirika.
~. Kuhakikisha kuwa utaratibu wa kununua na uagizaji bidhaa na huduma unafuata sheria na kanunui za manunuzi.
• Kushirikiana na Wakuu wa Idara na Vrtengo kufanya mapitio ya mahitaji ya bidhaa au huduma iii kuhakikisha vinapatikana kwa
bei nafuu.
• Kwa kusaidiana na wakuu wa Idara na vitengo kuratibu na kuweka kumbukumbu za vifaa vilivyochakaa, thamani yake na vile
_ ambavyo havijachakaa.
• Kuandaa makabrasha ya Tenda na kuwakaribisha Wazabuni, kupokea maombi yao, kuratibu zoezi la uthamini na kuwataarifu
wazabuni ipasavyo.
• Kuhakikisha kuwa nyaraka zote za manunuzi au uuzaji zinapatikana baada ya kununua na zimejazwa kwa usahihi kulingana
na sheria na taaluma ya ununuzi.
• Kuhakikisha kuwa nyaraka zote za ununuzi au uuzaji zinatuzwa vizuri kwa ajili ya kumbukumbu pindi zilakapohitajika
• Kufanya kazi ,zozote atakazopangiwa na Mkuu wa Kitengo
Meneja wa Afya na Usafi
Sifa
Awe na Shahada ya afya ya umma, Sayansi ya Mazingira au sifa zozote zinazolingana na hizo kutoka Chuo chachote kinachotambulika
na Serikali pamoja na uzoefu wa kazi usiopungua miaka sila (6).
Kazi na Majukumu
• Kuongoza Idara ya Afya na Usafi
• Kubuni, kupendekeza na kutekeleza sera ambazo zitahakikisha kuwa viwango vya ubora wa bidhaa zinatosheleza viwango
vinavyokubalika kisheria.
• Kubuni mipango na kutoa maelekezo ambayo yatahakikisha kuwa Soko linakuwa safi
• Kuhakikisha kuwa hakuna madhara yatakayoweza kuwaathiri watumiaji wa bidhaa za soko la Kariakoo.
• Kubuni mipango ya kuweka Soko katika hali ya usafi iii kuepuka madhara yanayoweza kuwapata watumiaji wa bidhaa za Soko
la Kariakoo.
• Kushauri Meneja Mkuu mambo vote yanayohusu Afya na Usafi katika Soko
• Kusimamia kazi zote zinazohusika na huduma ya Afya ya Umma.
• Kusimamia ubora wa bidhaa zinazouzwa Sokoni.
• Kusimamia usafi wa Soko na mazingira yake.
• Kushauri MeneJa Mkuu wakati wa ununuzi wa vifaa na zana kwa ajili ya Idara ya Afya na Usafi wa Soko.
• Kuandaa Bajeti ya Idara.
• Kufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na Meneja Mkuu.

Mwanasheria Mwandamizi
Msaidizi wa Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta
Sifa:
Awe na Ehmu ya Kidato cha Sila pamoja na Stashahada ya Kompyuta kutoka katika Chuo kinachotambulika kisheria.
Kazi na Majukumu
• Kuendesha server ya mtandao wa Kompyuta.
• Kusajili watumiaji wapya kwenye mtandao wa Kompyuta na kutafsiri kiwango cha matumizi.
• Kutoa mafunzo kwa watumiaji wapya wa Kompyuta kutunza tovuti ya Shirika.
• Kutoa vigezo sahihi wakati wa ununuzi wa vifaa vya Kompyuta na mifumo yake.
• Kutafuta sababu ya mifumo kushindwa kufanya kazi na kutoa ushauri sahihi.
• Kufanya shughuli zozote za kikazi atakazopangiwa na Mkuu wa Kitengo cha Tehama cha Shirika.

Katibu Muhtasi Oaraja la II
Sifa:
Awe na Elimu kiwango cha Stashahada ya Uwazili kutol Kazi na Majukumu
• Kufanya kazi za kuchapa barua mbalimbali za kikazi.
• Kupokea barua na kUZJW3sihsha sehemu husika.
• Kupokea, kuwasikiliza na kuwaelekeza wageni wa Shirika.
• Kufanya kazi zozote atakazopanglWa na mkuu wake

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Masharti ya Jumla
Muombaji sharti awe raia wa Tanzania
Barua ya maombi, ikiambatishwa na wasifu binafsi pamoja na nakala ya vyeti vya kidato cha nne au sita, mafunzo, cheti cha kuzaliwa.
Nakala moja fiumwe kwa njia ya kawaida "hard copy' na nyingine kwa njia ya mtandao "soft copy' ifumwe kwa andersonshaka@yahoo.com
MENEJA MKUU
Shirika la masoko ya Kariakoo
SLP 15789
DAR ES SALAAM

Ajira Shirika la Masoko ya Kariakoo - 9/4/2014
Reviewed by Unknown
on
2:14:00 AM
Rating: