TANGAZO MUHIMU KWA VIJANA KIDATO CHA SITA 2014 MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA KWANZA NA AWAMU YA PILI
Orodha ya Vijana wa Kidato cha Sita watakaokwenda JKT kwa mujibu wa sheria Awamu ya Kwanza imefanyiwa marekebisho kama ifuatavyo:-
- Vijana 1,200 wameondolewa kutoka kikosi cha Ruvu na kupelekwa vikosi vya Mautupora, Mafinga na wachache vikosi vingine.
- Merekebisho machache pia yamefanyika katika vikosi mbalimbali.
- Kutokana na marekebisho hayo, vijana wanasisitizwa kuhakiki tena majina yao katika orodha mpya iliyopo kwenye tovuti hii.
Vijana wote ambao hawajapangwa Awamu ya Kwanza, wamepangwa Awamu ya Pili na orodha yao itawekwa kwenye tovuti hii (www.jkt.go.tz) muda wowote kuanzia sasa.
Taarifa hii imetolewa na Makao Makuu ya JKT.
Mawasiliano na Jeshi la Kujenga Taifa
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694, Dar es Salaam.
---
S.L.P 1694, Dar es Salaam.
Simu:+255-22-2780588/2780712
Fax:+255-2-270048
Email: info@jkt.go.tz
Website: www.jkt.go.tz
Tangazo muhimu la JKT kwa wahitimu Kidato cha VI , 2014
Reviewed by Unknown
on
5:47:00 PM
Rating: