KADETFU inatangaza kazi zifuatazo:
KAZI: Afisa Ugani - Kilimo (Extension officer)
Kituo cha kazi: Bukoba Mjini, (eneo ni Wilaya za Muleba, Misenyi na Bukoba)
Sifa: i) Stashahada/Cheti kutoka chuo cha Kilimo kinachotambuliwa na serikali
ii) Umri kati ya miaka 21-50
iii) Uwezo wa kutumia computer pamoja na internet
iv) Ujuzi wa kuendesha gari na pikipiki ni nyongeza ya sifa
v) Uwezo wa kuzungumza na kuandika taarifa za kazi kwa lugha
ya kiingereza na Kiswahili
Mshahara: Unaridhisha na si chini ya viwango vya serikali.
Shughuli: Kutoa huduma za ugani (extension services), katika Kilimo katika eneo la mradi ikiwa ni pamoja na kuwaelekeza wakulima jinsi ya kutumia tope chujio (bio-slurry) inayotokana na baiogesi.
Uzoefu: i) Mwaka mmoja katika huduma za ugani kwa wenye stashahada na miaka miwili kwa wenye cheti.
Muda wa Ajira: Mwka mmoja (unaweza kuongezwa iwapo utendaji kaazi utaridhisha)
Mwisho wa maombi ni tarehe 25.09.2013 saa sita mchana (EAT) na
atakayekuwabliwwa ataanza kazi tarehe 01.10.2013.

MAOMBI YETUMWE KWA BARUA PEPE KWA:
Mkurugenzi Mtendaji - KADETFU.
P.O. Box 466, BUKOBA, Tanzania,
Tel: +255(028) 22 20717,
Mobile: 0754 740 267,
E-mail: info@kadetfu.or.tz na kadetfu@gmail.com
Website: www.kadetfu.or.tz
Afisa Ugani - Kilimo (Extension officer)
Reviewed by Unknown
on
2:56:00 AM
Rating: