Source: Mwananchi 11th September, 2015
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega kuomba nafasi zifuatazo:-
Dedereva (x3)
SIFA/ELIMU /UJUZI
• Elimu ya Kidato cha IV.
• Leseni daraja "C" ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) bila kusababisha ajali.
• Cheti cha Majaribio ya Ufundi -Daraja 11.-
KAZI NA MAJUKUMU
• Kuendesha rnoqori yooino zote katika Halmashauri.
• Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wowote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili gundua ubovu unaohitaji matengenezo.
• Kufanya rnotenqenezo madogo madogo katika gari .
• Kutunza na kuandika daftari la safari "Log-book" –kwa safari zote
NGAZI YA MSHAHARA
Kianzio cha Mshahara TGOS A (1)
UMRI:
Mwombaji awe na umri usiopunquo miaka 18 na usiozidi miaka 45-

APPLICATION INSTRUCTIONS:
MAELEZO YA JUMLA:
Maombi yote yawasilishwe yakiwa yameambatanishwa na CV pamoja na nakala za vyeti vya kuhitimu elimu na mafunzo (vyeti vinavoonyeshwa kiwango cha ufaulu na -sio ("leaving certificate“).
MUHIMU:
Muombaji- anatakiwa atume vyeti vyake halisi na halali kwani uhakiki utafanyika katika vyuo ulivyopitiwa na Baraza la Mitihani. Udanganyifu wowote ukibainika hatua za kisheria zitachukuliwa.
MAOMBI YATUMWE KWA ANWANI IFUATAYO:-
MKURUGENZI,
HALMASHAURI YA WILAYA
S.LP. 157,
BUSEGA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25/09/2015 saa 9:30 Alasiri

Dereva (x3) , Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Reviewed by Unknown
on
10:51:00 AM
Rating: