TAARIFA KUHUSU AJIRA ZA MAGEREZA - SEP 29 2015


Jeshi la Magereza nchini limetoa taarifa ifuatayo, kukanusha taarifa za tangazo la ajira katika Jeshi hilo ambayo imekuwa ikisambazwa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii hivyo kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi na Uongozi wa Jeshi kwa ujumla.
Magereza Statement
TAARIFA KUHUSU AJIRA ZA MAGEREZA - SEP 29 2015 TAARIFA KUHUSU AJIRA ZA MAGEREZA - SEP 29 2015 Reviewed by Unknown on 11:40:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.