TANGAZO LA KAZI WIZARA YA AFYA MACHI 2014

Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anapenda kuwatangazia Wauuguzi  wa ngazi ya Astashahada na ngazi ya Stashahada waliohitimu mafunzo mwaka 2013 wawasilishe maombi ya kupangiwa  vituo vya  kazi. Waombaji wanatakiwa kupendekeza maeneo matatu wanayotaka wapangiwe kazi.

Maeneo  yenye nafasi za kazi yameainishwa kwenye tangazo la kazi kwenye tovuti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  (www.moh.go.tz) au Gonga Hapa

Maombi wayawasilishwe kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa anuani ya hapa chini kabla ya tarehe 14 Machi, 2014.

Katibu Mkuu,
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
S.L.P. 9083,
DAR ES SALAAM.

SHARE

Kazi Bongo

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image

Blog Archive

Popular Posts

Useful Links