HALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU
NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu anatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
2. Katibu Mahsusi - Daraja la III – Nafasi 2
Sifa
• Wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza (shorthand) maneno 80 kwa dakida moja na wawe wamepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika programu za windows. Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
Mshahara
Cheo hiki kina ngazi ya mshahara wa TGS B yaani Tshs. 390,000/= hadi Tshs. 489,000/= kwa mwezi.

Afisa Mtendaji wa Kijiji – Daraja la III – Nafasi 2
Sifa
• Kuwa na Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au kidato cha sita (VI)
• Kuhitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi na Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka chuo cha Serikali za mitaa, Hombolo-Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Mshahara
Cheo hiki kina ngazi ya mshahara TGS B yaani Tshs. 390,000/= hadi Tshs. 489,000/= kwa mwezi.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Mwombaji aambatishe CV, nakala za Vyeti vya taaluma, na kuzaliwa. Pia katika barua ya maombi ni vyema kukawa na namba ya simu.
Jinsi ya kutuma maombi
Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Karatu
S.L.P 190
KARATU
Mwisho wa kutuma maombi tarehe 23 machi mwaka 2016 kabla ya saa 9:30 mchana.

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU
Reviewed by Unknown
on
2:38:00 AM
Rating: