TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino anatangaza nafasi ya kazi kama ifuatavyo:-
1. Afisa Mtendaji wa Kijiji Daraja la III – Nafasi Moja (1)
Sifa
• Awe amehitimu kidato cha Nne (IV)/Sita (VI) mwenye Astashahada/Cheti katika moja ya Fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya jamii na sayansi ya Sanaa kutoka chuo cha serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.
Majukumu
• Atakuwa Mtendaji Mkuu na Mshauri wa Serikali ya Kijiji na kamati zake katika mipango ya maendeleo ya jamii na utekelezaji wa mipango ya maendeleo.
• Atakuwa Mlinzi wa Amani na msimamizi wa utawala bora.
• Atasimamia mapato na matumizi ya Serikali ya Kijiji.
• Atakuwa katibu wa Halmashauri ya Kijiji.
• Atatafsiri Sera, Taratibu na kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo ndogo za Halmashauri katika kijiji.
• Ataratibu na kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuziwasilisha kwenye Halmashauri ya kijiji na baadaye kwenye kata.
• Atasimamia matumizi bora ya nguvu kazi.
• Ataamasisha wanachi katika mikakati mbalimbali ya kuondoa njaa, umasikini na kuongeza uzalishaji mali.
• Ataongoza vikao vya maendeleo ya kijiji vitakavyowahusisha wananchi na wataalamu waliopo kwenye eneo lake.
Mshahara
• Kianzio cha Mshahara kitakuwa katika ngazi ya mshahara TGS B.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Namna ya Kutuma Maombi
• Barua ziandikwe kwa mkono na Mwombaji.
• Barua ziambatane na nakala za vyeti vya Elimu ya Sekondari na Chuo pamoja na taarifa binafsi. (CV)
• Picha mbili (passport size) za hivi karibuni.
• Wale walioajiriwa wapitishe maombi yao kwa waajiri wao.
• Umri usizidi miaka 45
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/02/2016
Barua zote zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
S.L.P 1126
DODOMA
SAADA S. MWARUKA
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
CHAMWINO

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino - 2/10/2016
Reviewed by Unknown
on
9:33:00 PM
Rating: