Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anatangaza nafasi za kazi kwa Watanzania wote wenye sifa kwa nafasi zifuatazo:-
Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II TGS B-Nafasi 01
Sifa za Mwombaji.
Elimu ya kidato cha nne/sita aliyehitimu cheti cha ulunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani za
Afya, Masijala, Mahakama, ArdhL
Kazi na Majukumu.
Kutafuta kumbukumbu/ nyaraka/mafaili yanayohitajika na wasomaji.
Kuthibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu /nyaraka
Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika rnakundi kuling ana na somo husika
kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
Kupanga/ kuweka Kumbukumbu /nyaraka katika mafaili
Kushughulikia maombi ya kumbukumbu Inyaraka kutoka Taasisi za Serikali.

Dereva Daraja II TGOS A - Nafasi 06.
Sifa za Mwombaji.
Elimu ya kidato cha nne, leseni ya udereva daraja la C na cheti cha majaribio ya Ufundi daraja II. Kazi na Majukumu.
Kuendesha magari ya abiria na malori
Kuhakikistla gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote,na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baaada ya safari.
Kugundua ubovu unaohitaji matengenezo ..
Kufanya matengenezo madogomadogo katika kila gari.
Kutunza na kuandika daftari la safari "log-book" kwa safari zote.
Mtendaji wa Kijlji Daraja la III TGS B - Nafasi 02
Sifa za Mwombaji.
» Elimu ya kidato cha nne/sila aliyehitimu mafunzo ya Astashahada katika moja ya fani ya Utawala, Sheria, Maendeleo ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Uchumi na Mipango kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na SerikalL
Kazi na Majukumu.
Afisa Masuhuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji
Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
Kusimamia na kutafsiri Sheria, Sera, na Taratibu.
Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI VA WI LAY A
S.L.P 3003
MOSHI.
HALMASHAURI VA WI LAY A
S.L.P 3003
MOSHI.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 14/10/2015 SAA 9:30 MCHANA.
Imetolewa na;
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.
AJIRA Halmashauri ya Wilaya ya Moshi , Okt 1 2015
Reviewed by Unknown
on
8:07:00 AM
Rating: