Mkurugenzi Mtendaji (WI Makete kupitia kibali cha ajira mpya kilichotolewa na Katibu Mkuu - Utumishi Kumb. Na. CB.170/363/01 /1/36 anapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sila za kuajiriwa kuleta maombi yaa ya kazi kwa nalasi ziluatazo:-
Mtendaji Wa Kijiji III - NAFASI 20
MAJUKUMU YA KAZI
Kuwa Alisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
Kusimamia ulinzi na usalama.
Kusimamia utawala bora katika Kijiji
Kuwa katibu wa mikutano na kamati zate za Halmashauri ya Kijiji
Kutalsiri na kusimamia sere, sheria na taratibu zinazoongoza Serikali ya Kijiji
Kusimamia, kukusanya na kuhiladhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya mshahara ya TGS B kwa mwezi.
SIFA ZA MWOMBAJI
Mhitimu wa kidato cha nne au sita waliohitimu malunzo ya cheti katika moja ya fani za Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Iornii au Sayansi ya Sanaa kutaka Chuo cha Serikari za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chua chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Kuratibu shughuli zote za Maendeleo ya Iornii katika Kata kwa kuzingatia jinsia.
Kuhamasisha kuondokana na mila/desturi potofu katika jamii.
Kuelimisha jamii juu ya kutekeleza rncsuolo ya kijinsia
Kuelimisha jamii kuhusu masuala ya watoto .
Kukusanya, kuchambua na kuweka takwimu za Kata zinazozingatia jinsia
zitakazotumika katika mipango ya maendeleo.
Kuhamasisha jamii juu ya kutumia teknolojia rahisi na sahihi.
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya mshahara TGS B kwa mwezi
Msaidizi Wa Kumbukumbu II -NAFASI 4
MAJUKUMU YA KAZI
Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/ mafaili yanayohitajika na watumiaji
Kupokea, kuandikisha na kutawanya .barua au nyaraka mbalimbali.
Kupanga nyaraka mbalimbali katika reki na makabati ya kuhifadhia nyaraka.·
Kuweka kumbukumbu (boruo na nyaraka) katika mafaili.
Kushughulikia maombi ya kumbukumbuku/nyaraka kutoka ndani ya
Halmashauri na taasisi za nje ya Halmashauri.
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya mshahara ya TGS B kwa rt1V>ezi.
SIFA ZA MWOMBAJI
Wahitimu wa kidato cha nne au sita waliohitimu mafunzo ya cheti cha utunzaji wa kumbukumbu katika fani za Afya, Ardhi, Mahakama au Masjala kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma, Dar es Salaam au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Katibu Mahsusi III - NAFASI 7
MAJUKUMU YA KAZI
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
Kusaidia kupokea wageni kuwosikilizo shidc zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
Kusaidia kutunza taarifa za matukio, mircdi-woqeni, tarehe za vikao na safari za Mkuu wake kazini.
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada au nyaraka
zinazohitajika kwa shughuli za kiofisi.
Kusaidia kupokea na kuyasambaza majalada sehemu zinazohusika
Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumpatia mrejesho wa maagizo yaliyotolewa.
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikoli ngazi ya mshahara ya TGS B kwa mwezi
SIFA YA MWOMBAJI
Wahitimu wa kidato cha nne au sita waliohitimu mafunzo ya cheti cha Uhazili ngazi ya III na kupata Cheti katika Programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher. Aidha, woombo]i wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya maneno BO [kwo dakika moja).
MASHARTI YA UJUMIA
Mwombaji wote wawe ni raia wa Tanzania
Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
Waombaji wote waambatanishe na maelezo binolsi (CV)
Waombaji waambatanishe picha 1 "Passport Size" ya hivi karibuni na nakala za vyeti halisi.
Transcript "Testmonials" na "Provisional Results" au Statement of Results havitakubaliwa. .
Mwombaji awe na urnri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
MAOMBI YATUMWE KWA:
Mkurugenzi Mtendaji (WI
Halmashauri ya Wilaya ya Makete,
S.L.P.6,
Makete.
MWISHO WA KULETA MAOMBI
Maombi yawasilishwe kabla au mnamo tarehe 31/08/2015 soa 9:30 A1asiri. Maombi yatakayowasilishwa baada
ya tarehe na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.
Francis E. Namaumba
Mkurugenzi Mtendaji (W)
MAKETE

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Makete - 8/25/2015
Reviewed by Unknown
on
2:17:00 AM
Rating: