Mkurugenzi Mtendaji (WI Makete kupitia kibali cha ajira mpya kilichotolewa na Katibu Mkuu - Utumishi Kumb. Na. CB.170/363/01 /1/36 anapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sila za kuajiriwa kuleta maombi yaa ya kazi kwa nalasi ziluatazo:-
Msaidizi Wa Kumbukumbu II -NAFASI 4
MAJUKUMU YA KAZI
Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/ mafaili yanayohitajika na watumiaji
Kupokea, kuandikisha na kutawanya .barua au nyaraka mbalimbali.
Kupanga nyaraka mbalimbali katika reki na makabati ya kuhifadhia nyaraka.·
Kuweka kumbukumbu (boruo na nyaraka) katika mafaili.
Kushughulikia maombi ya kumbukumbuku/nyaraka kutoka ndani ya
Halmashauri na taasisi za nje ya Halmashauri.
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya mshahara ya TGS B kwa rt1V>ezi.
SIFA ZA MWOMBAJI
Wahitimu wa kidato cha nne au sita waliohitimu mafunzo ya cheti cha utunzaji wa kumbukumbu katika fani za Afya, Ardhi, Mahakama au Masjala kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma, Dar es Salaam au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. -

APPLICATION INSTRUCTIONS:
MASHARTI YA UJUMIA
Mwombaji wote wawe ni raia wa Tanzania
Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
Waombaji wote waambatanishe na maelezo binolsi (CV)
Waombaji waambatanishe picha 1 "Passport Size" ya hivi karibuni na nakala za vyeti halisi.
Transcript "Testmonials" na "Provisional Results" au Statement of Results havitakubaliwa. .
Mwombaji awe na urnri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
MAOMBI YATUMWE KWA:
Mkurugenzi Mtendaji (WI
Halmashauri ya Wilaya ya Makete,
S.L.P.6,
Makete.

MWISHO WA KULETA MAOMBI
Maombi yawasilishwe kabla au mnamo tarehe 31/08/2015 soa 9:30 A1asiri. Maombi yatakayowasilishwa baada
ya tarehe na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.
Francis E. Namaumba
Mkurugenzi Mtendaji (W)
MAKETE
Msaidizi Wa Kumbukumbu - Halmashauri ya Wilaya ya Makete
Reviewed by Unknown
on
9:43:00 AM
Rating: