Mkurugenzi Mtendaji (WI Makete kupitia kibali cha ajira mpya kilichotolewa na Katibu Mkuu - Utumishi Kumb. Na. CB.170/363/01 /1/36 anapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sila za kuajiriwa kuleta maombi yaa ya kazi kwa nalasi ziluatazo:-
Katibu Mahsusi III - NAFASI 7
MAJUKUMU YA KAZI
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
Kusaidia kupokea wageni kuwosikilizo shidc zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
Kusaidia kutunza taarifa za matukio, mircdi-woqeni, tarehe za vikao na safari za Mkuu wake kazini.
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada au nyaraka
zinazohitajika kwa shughuli za kiofisi.
Kusaidia kupokea na kuyasambaza majalada sehemu zinazohusika
Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumpatia mrejesho wa maagizo yaliyotolewa.
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikoli ngazi ya mshahara ya TGS B kwa mwezi
SIFA YA MWOMBAJI
Wahitimu wa kidato cha nne au sita waliohitimu mafunzo ya cheti cha Uhazili ngazi ya III na kupata Cheti katika Programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher. Aidha, woombo]i wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya maneno BO [kwo dakika moja).

APPLICATION INSTRUCTIONS:
MASHARTI YA UJUMIA
Mwombaji wote wawe ni raia wa Tanzania
Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
Waombaji wote waambatanishe na maelezo binolsi (CV)
Waombaji waambatanishe picha 1 "Passport Size" ya hivi karibuni na nakala za vyeti halisi.
Transcript "Testmonials" na "Provisional Results" au Statement of Results havitakubaliwa. .
Mwombaji awe na urnri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
MAOMBI YATUMWE KWA:
Mkurugenzi Mtendaji (WI
Halmashauri ya Wilaya ya Makete,
S.L.P.6,
Makete.

MWISHO WA KULETA MAOMBI
Maombi yawasilishwe kabla au mnamo tarehe 31/08/2015 soa 9:30 A1asiri. Maombi yatakayowasilishwa baada
ya tarehe na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.
Francis E. Namaumba
Mkurugenzi Mtendaji (W)
MAKETE
Katibu Mahsusi - Halmashauri ya Wilaya ya Makete
Reviewed by Unknown
on
9:43:00 AM
Rating: