Mkurugenzi Mtendaji (WI Makete kupitia kibali cha ajira mpya kilichotolewa na Katibu Mkuu - Utumishi Kumb. Na. CB.170/363/01 /1/36 anapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sila za kuajiriwa kuleta maombi yaa ya kazi kwa nalasi ziluatazo:-
Afisa Maendeleo Ya Jamii Msaidizi III- NAFASI 19
MAJUKUMU YA KAZI
Kuratibu shughuli zote za Maendeleo ya Iornii katika Kata kwa kuzingatia jinsia.
Kuhamasisha kuondokana na mila/desturi potofu katika jamii.
Kuelimisha jamii juu ya kutekeleza rncsuolo ya kijinsia
Kuelimisha jamii kuhusu masuala ya watoto .
Kukusanya, kuchambua na kuweka takwimu za Kata zinazozingatia jinsia
zitakazotumika katika mipango ya maendeleo.
Kuhamasisha jamii juu ya kutumia teknolojia rahisi na sahihi.
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya mshahara TGS B kwa mwezi
SIFA ZA MWOMBAJI
Wahitimu wa kidoto cha nne au sita waliohitimu mafunzo ya cheti cha Maendeleo ya Jcmii kutoka vyuo
vinavyotambulika na Serikali.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
MASHARTI YA UJUMIA
Mwombaji wote wawe ni raia wa Tanzania
Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
Waombaji wote waambatanishe na maelezo binolsi (CV)
Waombaji waambatanishe picha 1 "Passport Size" ya hivi karibuni na nakala za vyeti halisi.
Transcript "Testmonials" na "Provisional Results" au Statement of Results havitakubaliwa. .
Mwombaji awe na urnri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
MAOMBI YATUMWE KWA:
Mkurugenzi Mtendaji (WI
Halmashauri ya Wilaya ya Makete,
S.L.P.6,
Makete.

MWISHO WA KULETA MAOMBI
Maombi yawasilishwe kabla au mnamo tarehe 31/08/2015 soa 9:30 A1asiri. Maombi yatakayowasilishwa baada
ya tarehe na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.
Francis E. Namaumba
Mkurugenzi Mtendaji (W)
MAKETE
Afisa Maendeleo Ya Jamii Msaidizi - Halmashauri ya Wilaya ya Makete
Reviewed by Unknown
on
9:42:00 AM
Rating: