Saturday, January 7, 2012

NAFASI ZA KAZI WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika anawatangazia Watanzania wote wenye sifa zilizoanishwa hapa chini watume barua za maombi ya kazi zifuatazo.

1. Afisa Utafiti Kilimo Daraja la II (Agricultural Research Officer II) Nafasi 70

(a) Sifa za waombaji Wawe wamehitimu Shahada ya Kilimo (Bsc Agriculture General), Uchumi Kilimo, Uhandisi Kilimo, Food Science and Technology, Biotechnology Laboratory Sciences, Agronomy,Bsc Environmental Science na Horticulture kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

(b) Majukumu

Ø
Kusaidia kukusanya na kuandika ripoti za utafiti chini ya maelekezo ya Afisa Utafiti Kilimo Mwandamizi.
Ø Kukusanya, kurekodi na kuchanganua takwimu za kazi za Utafiti zinazoendelea.
Ø Kusaidia katika kuendesha semina na kuwaelekeza wakulima jinsi ya kutumia teknolojia mpya kwa kuzingatia hali ya uchumi na mazingira yake. Ø Kutoa ripoti ya maendeleo ya Utafiti na mapendekezo ya Utafiti katika Mikutano ya kanda.
Ø Kufanya shughuli za Utafiti chini ya maelekezo na uangalizi wa Afisa Utafiti Kilimo Mwandamizi.
Ø Pamoja na kazi nyingine za Utafiti kama atakavyopangiwa na kiongozi wake wa kazi.

(c) Mshahara
Ø Mishahara ya Watumishi wa Serikali ngazi ya TGRS A.

2. Mhandisi Kilimo Daraja la II (Agro Engineer II). Nafasi 88

Waombaji watakaochaguliwa watapangiwa kazi Wizara ya Kilimo chakula na Ushirika na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

(a)
Sifa za waombaji

Ø Wawe wamehitimu Shahada ya Uhandisi yenye mwelekeo mkubwa katika fani ya Kilimo, Umwagiliaji,Ujenzi,Ufundi na Mazingira kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali

(b) Majukumu
Ø
Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za Kilimo
Ø
Kushirika katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana.
Ø
Kushiriki katika ujenzi wa miradi ya Umwagiliaji
Ø
Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji.
Ø Kukusanya takwimu za miradi ya umwagiliaji
Ø
Kufuatilia program za mafunzo ya wanyamakazi mafundi wa matrekta wa wakulima jinsi ya matumizi ya wanyama kazi na matrekta
Ø Kushiriki kuratibu na kutoa huduma za umwagiliaji pamoja na matumizi ya maji. Ø Pamoja na kazi zingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Ø
Kupitia mapendekezo ya miradi mbalimbali ya ufundi yanayowasilishwa Wizarani.
Ø Kusimamia mikataba ya ujenzi/ukarabati wa miundombinu ya umwagiliaji.
Ø Kushirikiana na mafundi sanifu kuwafundisha wakulima uendeshaji wa skimu za umwagiliaji

(c)
Mshahara
Ø
Mishahara ya Watumishi wa Serikali ngazi ya TGS E.

3. Afisa Kilimo Daraja la II (Agro – Officers II) Nafasi 378
Waombaji watakaochaguliwa watapangiwa kazi Wizara ya Kilimo chakula na Ushirika na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
(a) Sifa za waombaji
Ø
Wawe wamehitimu Shahada ya Sayansi Kilimo (Bsc.Agriculture General,Bsc.Horticulture,Bsc.Agronomy,Bsc.Environm ental Sciences) na Mazingira kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

(b) Majukumu
Ø
Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea Ø Kukusanya takwimu za bei za mazao kila wiki na kila mwezi
Ø Kukusanya takwimu za upatikanaji wa mazao katika masoko kila wiki/mwezi
Ø Kuendesha mafunzo ya wataalamu wa Kilimo
Ø
Kufanya ukaguzi wa ubora na matumizi ya pembejeo na zana.
Ø Ufuatiliaji wa mwenendo wa soko la mazao ya biashara
Ø
Kuendesha mafunzo juu ya hifadhi bora ya udongo na maji
Ø
Kutoa habari juu ya teknolojia mpya kwa wadau
Ø Kuandaa/ kuandika taarifa za utekelezaji kwa sekta ndogo ya mazao.
Ø Kusimamia/kuendeleza taaluma ya uzalishaji mboga, matunda, maua na mazao mengine.
Ø Kusimamia/kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora
Ø Kuandaa, kutayarisha, kufunga na kusambaza mbegu bora
Ø
Kufanya ukaguzi wa mbegu mpya kwa kushirikiana na Watafiti wa mbegu kabla kupitishwa
Ø
Kuendesha mafunzo ya kuzalisha mbegu matunda, maua na viungo
Ø
Kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya bustani
Ø
Kufanya utafiti mdogo mdogo wa mazao yanayofaa kulimwa katika sehemu ya Kilimo cha Umwagiliaji.
Ø Kufanya utafiti wa udongo
Ø
Kuhamasisha uanzishaji wa vikundi vya wakulima/ wamwagiliaji
Ø
Kuzalisha mbegu za msingi baada ya kuzalishwa na watafiti
Ø
Kuendesha/kusimamia vishamba vya majaribio vya mbegu na uchunguzi maabara ili kuondoa utata juu ya mbegu.

(c) Mshahara Mishahara ya Watumishi wa Serikali ngazi ya TGS D.

4.
Mkufunzi Kilimo Daraja la II (Agricultural Tutor II) Nafasi 38
Waombaji watakaochaguliwa watapangiwa kazi ya kufundisha katika vyuo vilivyo chini ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.

(a) Sifa za waombaji Wawe wamehitimu Shahada ya kwanza yenye mwelekeo wa Kilimo (Bsc.Agriculture General,Bsc.Agricultural Engineer,Bsc. Agronomy, Bsc.Irrigation Engineer) kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo- Sokoine au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

(b) Majukumu
Kufundisha kozi za stashahada na astashahada za kilimo nadharia na vitendo
Ø Kuandaa mtiririko na mpangilio wa masomo (Lesson Sequences and Plans)
Ø
Kusoma na kuelewa vema mihutasari ya mafunzo na kuitafsiri kwenye masomo
Ø Kuandaa na kufundisha kozi za wakulima
Ø
Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia wanachuo wakati wa kujifunza
Ø Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa kipindi chote kinachohusika na kutunza alama zao.
Ø Kupima maendeleo ya wanachuo kwa kushirikiana na Maafisa Kilimo wa Wilaya/Viwandani wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field Practicals).
Ø
Kutekeleza shughuli nyingine za kikazi kadri atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

(c) Mshahara
Ø Mishahara ya Watumishi wa Serikali ngazi ya TGS D. Waombaji wote katika barua zao ni lazima waonyeshe sehemu ambayo wangependa kupangiwa kwa nafasi zile zinazohusisha zaidi ya wizara moja. Hata hivyo uamuzi wa mwisho juu ya vituo ni wa mwajiri/ Mamlaka za ajira ambako nafasi zinapatikana. \

MAMBO YA KUZINGATIA Barua za maombi ziambatane na Curriculum Vitae (CV), picha ndogo mbili ukubwa wa pasipoti, cheti cha kuzaliwa, vivuli vya vyeti vya kuhitimu elimu ya sekondari na Shahada husika . Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45. Wahitimu walioajiriwa Serikalini hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi kwasababu tayari wana ajira Wahitimu waliotuma maombi yao kabla ya tangazo hili wanashauriwa kutuma maombi upya. Barua zote za maombi ziwasilishwe katika muda wa siku 14 kuanzia tarehe ya kwanza ya kuonekana tangazo hili. Tangazo hili linapatikana pia kwenye tovuti ya Wizara, Tanzania -- Ministry Of Agriculture, Food and Cooperatives- Home Page Barua za Maombi zitumwe kwa:

Katibu Mkuu,

Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika,
S.L.P. 9192,
DAR ES SALAAM.

My Blog List

Join Us on Facebook

Popular Posts

Labels

Acacia Mining ACB AKIBA COMMERCIAL BANK AccessBank Accountant Accounting Accounts ACDI/VOCA ACORD ACTED Action Against Hunger (ACF) ActionAid Adeso Administrative Advans Bank AfDB African Development Bank Africa Nazarene University Africa Rice Center (AfricaRice) African Barrick Gold African Development Bank African Union African Virtual University African Wildlife foundation (AWF) Africare Aga Khan Development Network (AKDN) Aga Khan Foundation Aga Khan Health Services Aga Khan Hospital Agha Khan AGRA Alliance for a Green Revolution in Africa Agricultural Agricultural Society of Kenya Agriculture Jobs Air Malawi Airtel Africa AKU ​Aga Khan University ALAF Limited Altima Africa American Embassy American Refuge Committee Amnesty AMREF ao Architects Ardhi University Arusha Au African Union Auditor Aviation AWF African Wildlife Foundation B B C WORLD SERVICE Bank Jobs Bank of Tanzania Bank of Uganda Barclays Bhttp://www.blogger.com/img/blank.gifank of Tanzania Bioversity International Bondo University College BRALIRWA British Council British High Commission BTC Belgian Technical Cooperation Bulyanhulu Gold Mine Burundi Business Development Buzwagi Gold Mine CAFOD - Catholic Agency for Overseas Development CARE International Caritas Catholic Relief Services CBA Commercial Bank of Africa Chemonics International CHF International ChildFund Christian Aid Civil Engineers Climate Change Clinton Health Access Initiative (CHAI Coca-Cola COMESA COMESA Secretariat: Commercial Bank of Africa Community Development Jobs Comoros Concern Worldwide Concultancy Congo - Kinshasa Conservation Jobs Consolidated Bank of Kenya Consultancy COOPI - Cooperazione Internazionale COUNTRY DIRECTOR CRDB BANK Customer Service Jobs Danida Danish Refugee Council Dar es salaam Dar es Salaam Institute of Technology Daraja Tanzania Data Base Management Daystar University Del Monte Kenya Deloitte East Africa DFID DHL Express DIAMOND TRUST BANK DIT DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY Djibouti Dodoma Driver Driver - Logistics East African Breweries East African Community East African Development Bank Ecomist Economist Education Egerton University EGPAF Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation Electrical Engineer Embassies EngenderHealth Engineering Engineers Registration Board (ERB) Environmental Equity Bank Ernst and Young Ethiopia Ethiopian Airlines European Union Ewaso Ngiro South River Basin Development Authority EWURA Family Health International (FHI) FHI 360 FilmAid International Fina Bank Finance Finance and Administration FINCA JOBS Food and Agriculture Organization Freedom House Futures Group GEITA GOLD MINING Geologist GOAL Goal Ireland Google Africa Graduates Gulf African Bank Halmashauri Handicap International Health - Medical Helen Keller International Help Age Hivos Horn Relief Hospitality Human Resources Human Rights IBM EAST AFRICA ICAP - TZ ICAP of Columbia University icipe Project ICT JOBS Ifakara Health Institute IFC International Finance Corporation IFM INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT IGAD IITA International Institute of Tropical Agriculture Inoorero University INSTITUTE OF ADULT EDUCATION International Commercial Bank International Jobs International Medical Corps International Organization for Migration (IOM) International Potato Center International Potato Center (CIP) International Rescue Committee (IRC) Internews® Network Internships InterShips Intrahealth IntraHealth International Iringa Islamic Relief ITECH IUCN International Union for Conservation of Nature Jhpiego Jomo Kenyatta University Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kabale University Kabale University (KAB) Kagera Kakira Sugar Kampala KCB BANK KEMRI KEMRI/CDC Program Kenya Kenya Accreditation Service Kenya Airports Authority kenya Airways Kenya Commercial Bank Kenya Polytechnic University College Kenya Ports Authority Kenya Red Cross Society Kenyan Banks Kenyatta University KickStart International Kigali Kigoma Kilimanjaro Kilimanjaro Christian Medical Centre Kisii University College Kisumu KPMG KUITWA KAZINI Kyambogo University Laboratory Jobs Lake Victoria Basin Commission Lake Victoria South Water Services Board Lecturer Legal Legal Jobs Librarian Lindi Jobs Logistics Lutheran World Federation Makerere University Malaria Consortium Malawi Management Sciences for Health Management Systems International (MSI) Managers Manyara Mara Marie Stopes Marie Stopes International (MSI) Marketing Maseno University Mbeya MCL Mwananchi Communications Médecins Sans Frontières Media Medical MENTOR Initiative Mercy Corps Microsoft Mining Ministry of State for Planning Moi University Mombasa Monitoring and Evaluation Morogoro MORUWASA Morogoro Urban Water and Sanitation Authority Moshi Mozambique MSF Switzerland MSH Management Sciences for Health MTN Mtwara MUHAS-harvad Muhimbili National Hospital Mumias Sugar Company Musoma Muteesa 1 Royal University Mwanza Mzumbe University Nairobi Nairobi Hospital Narok University College Nation Media Group National Bank of Commerce National Institute for Medical Research National University of Rwanda NBC BANK NECTA Nepad NGO JOBS Ngorongoro Conservation Area Authority Nile Basin Initiative Nile Breweries Limited Nkumba University North Mara Gold Mine Norwegian Refugee Council NSSF National Social Security Fund Nuru International Nzoia sugar Company Oil and Gas One Acre Fund Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA) OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Operations OSHA Occupational safety and Health Authority Oxfam PA PAC Pact International Partners in Health Path International Pathfinder International Peace Corps Petroleum EngineerS Plan International Precision Air Procurement Project Management PSI Population Services International Pwani University College Pwc PricewaterhouseCoopers RECORDS MANAGEMENT JOBS Relief International Research Resolute Tanzania Restless Development Rio Tinto Room to Read RTI International RUKWA Rural Electrification Agency Ruvuma Rwanda RWANDA HOUSING AUTHORITY RwandAir SADC Secretariat SafariCom Safety and Security Sales Sales and Marketing Samaritan's Purse Save The Children Scholarships Search for Common Ground Security Serengeti Breweries Serengeti Breweries Ltd Seychelles Shinyanga Jobs Singida SNV International Software Engineering SOKINE UNIVERSITY SOKOINE UNIVERSITY Solidarités International Somalia Songas Songea South Sudan Stanbic Bank Standard Chartered Bank Stores SUA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE Sudan Best Jobs SUMATRA TAA Tanzania Airports Authority Tabora TACAIDS TANAPA TANESCO Tanga TANROADS Tanzania Tanzania Breweries Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) Tanzania Electric Supply Company Tanzania Mortagage Refinance Company Tanzania Ports Authority Tanzania Postal Bank Tanzania Teachers’ Union TASAF Tanzania Social Action Fund TBC TANZANIA BROADCASTING CORPORATION TBS TANZANIA BUREAU OF STANDARDS TCRA Teaching Technoserve Telecoms Tender Tetra Tech ARD TFDA TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY The Commonwealth The Foundation For Civil Society THE LAW SCHOOL OF TANZANIA TIB - Tanzania Investment Bank Tigo Jobs TPDC TRA Tanzania Revenue Authority TradeMark East Africa Trainee Transmara Sugar Company Trócaire Tropical Pesticides Research Institute TTCL Tanzania Telecommunications Company Limited Tulawaka Gold Mine Tullow Oil Tumaini University Tumba College of Technology Twaweza East Africa Twiga Cement uga Uganda Uganda Best Jobs Uganda National Roads Authority Uganda Revenue Authority Uganda Telecom Uiversity of Nairobi Umma University UN-Habitat UNDP Unicef Unilever United Nations United States International University University University of Dar es salaam University of Dodoma University of Nairobi UNOCHA UNWOMEN US EMBASSY USAID USAILI - INTERVIEW Utumishi VETA Volunteer VSF Belgium Vso International War Child International Water Engineering WaterAid International WaterAid Tanzania Web Development Western Union WFP World Food Programme World Agroforestry Centre World Bank World Concern World Health Organization World Lung Foundation (WLF) World Vision WRP Walter Reed Project WWF World Wide Fund for Nature Zambia ZANTEL Zanzibar Zanzibar University Zinduka Afrika