Muuguzi - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora

From Mwananchi, 6 August 2015

Muuguzi Daraja La II . TGHS A nafasi 1

(a) Sifa za kuajiriwa
Kuajiriwa wenye cheti cha Uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa no Serikali no kuandikishwa (Enrolled) no Baraza 10 Wauguzi no Wakunga Tanzania.

Kazi na Majukumu
Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya.
Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu yake yo kazi
Kukusanya takwimu no kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi
Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani. (v) Kutoa ushauri nasaha
Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango (vii) Kutoa huduma za uzozi no afya yo mtoto
Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya (ix) Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yoke ya kazi
Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Utaratibu wa Kuomba:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015. Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174, TABORA.
Sipara Liana Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Muuguzi - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora  Muuguzi - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Reviewed by Unknown on 3:04:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.