From Mwananchi, 6 August 2015
Fundi sanifu Msaidizi - nafasi 1 ngazi ya Mshahara TGS A.
Kuajiriwa waliomaliza kidato cha nne (IV) katika masomo yo sayansi no kufuzu mafunzo yo mwaka mmoja katika moja ya fani za ufundi kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Afisa Kilimo Msaidizi daraja la II TGS B NAFASI 1
(a) Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha sita wenye stashahada ya kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Majukumu
Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio
Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora .
Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilirno.
Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki, mwezi, robo na mwaka ngazi ya Halmashauri
Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na teknolojia sahihi za kutumia.
Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya udongo na maji.
Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga, matunda, maua na viungo

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Utaratibu wa Kuomba:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015. Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174, TABORA.
Sipara Liana Mkurugenzi wa Manispaa Tabora

Fundi sanifu Msaidizi - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
Reviewed by Unknown
on
3:02:00 AM
Rating: