Fundi Sanifu Msaidizi (Umeme) - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora

Fundi Sanifu Msaidizi (Umeme) Nafasi 2 TGS B

Sifa za kuajiriwa
Awe no Elimu yo kidato cha IV
Awe no astashahada yo ufundi umeme katika fani yo ufundi umeme kutoka kotiko chuo kinachotambuliwa no serikali

MAJUKUMU
Kufanya matengezeno ya umeme katika Majengo yo Halmashauri
Kukagua majengo yote ili kubaini kama kuna tatizo la kuvuja umeme
Kufanya matengenezo ya miundo mbinu ya umeme

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Utaratibu wa Kuomba:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015. Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174, TABORA.
Sipara Liana Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Fundi Sanifu Msaidizi (Umeme) - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Fundi Sanifu Msaidizi (Umeme) - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Reviewed by Unknown on 3:06:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.