Mlezi wa Watoto Msaidizi (Child Care Assistant) - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora

Mlezi wa Watoto Msaidizi (Child Care Assistant) - TGS B Nafasi 4

Sifa
Kuajiriwa waliofaulu mafunzo yo maarifa ya nyumbani (Home craft Management) au mafunzo yanayofanana na hayo, au wenye cheti cha mwaka mmoja cha mafunzo yo Ustawi wa Jamii.

Kazi na majukumu
Kulea Watoto katika Vituo vya Kulelea Watoto Mchana
Kutoa mafunzo kwa akina mama juu yo malezi bora ya watoto wadogo.
Kusaidia shughuli za kinga za magonjwa ya watoto vijjijini/ sehemu au eneo la kituo.
Kuwa kiongozi wa kituo cha kulelea watoto.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Utaratibu wa Kuomba:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015. Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174, TABORA.
Sipara Liana Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
Mlezi wa Watoto Msaidizi (Child Care Assistant) - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Mlezi wa Watoto Msaidizi (Child Care Assistant) - Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Reviewed by Unknown on 3:07:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.