From Mwananchi, August 5th 2015
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi anatangaza na
kukaribisha maombi ya kazi kwa nafasi za kazi zifuatazo:
Mtendaji wa Kijiji Daraja La III (Nafasi 20)
Sifa
Awe amehitimu kidato cha nne au sita na awe amehitimu Astashahadal Cheti katika mojawapo ya fani zifuatazo Utawala, Sheria, Mipango ya Maendeleo Vijijini, Elimu ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Mshahara
Cheo cha Mtendaji wa Kijiji Oaraja III kina Mshahara wa TGS B
Kazi na Majukumu ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Daraja La III
Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao, kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora
Kusimamia na Kuratibu upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji
Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu za Serikali
Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika en eo lake na kuhamasisha
Wananchi katika kuandaa na kutekeleza Mikakati ya kuondoa njaa, umaskini
na kuongeza uzalishaj mali
Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo na Kitaalama katika Kijiji
Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri
katika Mtaa
Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Mtaa
Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine
zinazotumika katika Mtaa
Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa
njaa na Ukaskini katika Mtaa
Kusimamia ukusanyaj wa Mapato ya Halmashauri na kutunza Kumbukumbu
za walipa Kodi wote
Kuandaa na kutunza Rejesta ya Wakazi wote wa Mtaa; na
Atawajibika kwa Afisa Mtendaji wa Kata.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Masharti ya jumla kwa nafasi zote
Mwombaji awe Mtanzania umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na kuturnwa kwa anuani iliyotajwa chini
Mwombaji aambatishe nakala za Vyeti vya taaluma, cheti cha kuzaliwa.
Kwa wale watakaoitwa katika mahojiano (Interview) watatakiwa kufika na nakala halisi za Vyeti husika
Mwisho wa kupokea maombi itakuwa tarehe 25.08.2015 saa 9.30 mchana.
Barua zote zitumwe kwa:

Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya Bariadi
S.L.P. 109, BARIADI.
Mtendaji wa Kijiji - Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
Reviewed by Unknown
on
7:12:00 AM
Rating: