JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZNIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWARA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Halmashauri ya Jiji la Arusha imepokea kibali cha ajira mpya kumb. Na. CB.170/371/01/’H’/76 cha tarehe 13/07/2015. Hivyo, Mkurugenzi wa Jiji anawatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Arusha kutuma maombi ya nafasi ya Mtendaji wa Mtaa.
NAFASI; MTENDAJI WA MTAA DARAJA LA II – NAFASI 46
SIFA ZA MWOMBAJI
a) Awe na elimu ya Kidato cha IV au VI
b) Awe amehitimu stashahada katika moja ya fani zifuatazo; Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na sayansi ya Jamii kutoka kaitika chuo cha serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
c) Awe na umri usiozidi miaka 45
Kazi na Majukumu ya Mtendaji wa Mtaa
a) Katibu wa kamati ya mtaa
b) Mtendaji mkuu wa mtaa
c) Mratibu wa utekelezaji wa sera na sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa
d) Mshauri wa kamati ya mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika Mtaa
e) Mshauri wa kamati ya mtaa kuhusu masuala ya ulinzi na usalama
f) Msimamizi wa utekelezaji wa Mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umaskini katika mtaa
g) Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote
h) Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa na
i) Atawajibika kwa mtendaji wa kata
Mshahara
Ngazi ya TGS.C sawa na Sh 525,000/= kwa Mwezi

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maelezo ya Jumla
a) Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwa
b) Mwisho wa kupokea maombi ni tar 18/08/2015 saa 9.30 alasiri
c) Maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo

MKURUGENZI WA JIJI
HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA
S.L.P 3013
ARUSHA
Mtendaji Wa Mtaa - Halmashauri ya Jiji La Arusha
Reviewed by Unknown
on
7:11:00 AM
Rating: